Wanaume tuige mfano wa Jux, unavunja kibanda unajenga gorofa.

Wanaume tuige mfano wa Jux, unavunja kibanda unajenga gorofa.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,731
Reaction score
11,470
4fe2523db8c0df24fa1ae2ca6771ce90.jpg


Nampongeza Juma Jux, baada ya kuvunja kibanda(Vanesa), Sasa kaamua kujenga Gorofa naomba nawanaume wengine tuige mfano huu.

Unavunja kibanda unajenga gorofa, ukifanya kinyume chake basi utadharaulika.
 
mhm yote hayo yanawezekana pale ambapo mwanaume umejaa mihela...yaani unabadilisha tuu kila baada ya miaka miwili.
 
Back
Top Bottom