Ushauri kwa watu wanaoshiriki mapenzi siku ya leo

Bavarian8

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
656
1,433
Wanawake wanawake,wasichana, wasichana ,wanalika Leo jamani tuache utani duuuuuuh!!!! Nipo hapa mwenge Kuna guest moja opposite na NMB hapa yaani jamaa anaehudumu katika guest hii ni mshikaji wangu sasa nimekuja hapa anaambia toka asubuhi n mchakamchaka tu ,wengine ni wake za watu kabisa tunawajua wanatafunwa anaingia huyu anatoka duuuuh!! hii ni Noma sana

USHAURI:
Kwa mabaharia,wanaume au vijana kumbukeni tu condom manake Kuna demu mmoja kaingizwa hapa saivi na tunamjua kabisa kuwa ni positive na jamaa anadunda nae tu ndani.

N.B kumbukeni kondomu tu jaman msiuze mechi ohooooo, ni hatari sana wananzengo
Haya mimi nashauri tu ingawaje na mimi ni rijali pia Ila najikaza

By
Hon,.sir.chief ,igwe,Prof, Mobutu sese seko kuku ngwendu wazabanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ufanye inshu za maana hapo guest, wewe unahesabu anayeingia na kutoka.
Kanunue kondomu ukae pembeni ya mlango hapo uwauzie kwa bei punguzo. Mpaka siku iishe utakuwa umepata hela ya kununua chumvi nyumbani.
 
Badala ufanye inshu za maana hapo guest, wewe unahesabu anayeingia na kutoka.
Kanunue kondomu ukae pembeni ya mlango hapo uwauzie kwa bei punguzo. Mpaka siku iishe utakuwa umepata hela ya kununua chumvi nyumbani.


Huyo ndiye kesho anapewa kahawa bure kijiweni ili atoboe siri nani kaingia na mke wa nani.
 
Nina mechi badaye ngoja nikachukue kabisa rough rider
Mimi pia ndo nachukua za kwangu,,Uzinzi sijui tutaacha lini

#Don't forget to use condom
IMG_20191225_172619.jpeg
 
Back
Top Bottom