Pedi za wanawake wakati wa hedhi

Pedi za wanawake wakati wa hedhi

BelindaJacob

Platinum Member
Joined
Nov 24, 2008
Posts
6,494
Reaction score
4,079
Hello chicas/wadada,

Naomba mnisaidie hii information tafadhali.

1. Kuna aina ngapi za pedi zinauzwa na kutumikaTanzania, mimi naifahamu brand ya 'always' tu.

2. Ukinitajia hizo pedi naomba uniambie zinatengenezwa wapi, Tanzania ama nje ya nchi? na kampuni gani?

3. Pia bei ya hizo pedi kwa kila paketi moja ni Tshs. ngapi?

Kama kuna wakaka wanafahamu pia, msisite kuchangia hii mada.

Nawatakia wikend murua

Belinda

pedi nzuri ni glory pads zinauzwa elf5 kwa pakiti ya vipande kumi
 
Gold crest 10 sheets/box
goodcare dayuse 10per box
goodcare night use 8/box
goodcare pantiliner 22/box

zote ni kutoka China kwa bei ya tsh5000/=

ukihitaji ni 0655731345 0767831345
 
Daaaa! nimegudua humu JF kuna wanawake wahache sana au hampendani. Mwenzenu Belinda Jacob kauliza swali la muhimu sana tangu jana saa 9.59 alasiri lakini mpaka muda huu kuna wanawake wachaheche sana ie 4 tu ndiyo waliomjibu/msaidia,Why? Lala1 and company uko wapi?
 
Hii hapa ni nzuri sana hizi pads.
 
Attachments

  • 1433584559213.jpg
    1433584559213.jpg
    35.4 KB · Views: 3,294
Mmmh siku hizi kuna pedi nyingi...

Always
Hq
Angel
Freestyle
Kortex..niliziona mara moja tu mjini

Nk nknk
 
Mimi naomba kitu kimoja tu,DHUMUNI la kuuliza hivi tafadhali nisaidie mwanamama mwenzio

Anabeba mabox anataka aje mavumbini. Anataka ajue kama huku ziko nzuri au mnatumia nepi ili kama vipi aje na mzigo wa kutosha toka majuu.

Haya sasa mjibu mwanamke mwenzio swali lake.
 
Anabeba mabox anataka aje mavumbini. Anataka ajue kama huku ziko nzuri au mnatumia nepi ili kama vipi aje na mzigo wa kutosha toka majuu.

Haya sasa mjibu mwanamke mwenzio swali lake.

Nlihisi jambo kama hilo mkuu,mawazo yetu gongana. Ngoja aje atupe maelezo yake binafsi
 
Daaaa! nimegudua humu JF kuna wanawake wahache sana au hampendani. Mwenzenu Belinda Jacob kauliza swali la muhimu sana tangu jana saa 9.59 alasiri lakini mpaka muda huu kuna wanawake wachaheche sana ie 4 tu ndiyo waliomjibu/msaidia,Why? Lala1 and company uko wapi?
Umejuaje ni mwanamke?
 
Back
Top Bottom