Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo...
...usijisumbue, ndoa si Kwa kila mwanamke au mwanaume!
Hii case ni kubwa Kwa wadada/wamama yaani kila wakati wanahangaika lini wataolewa. Utawakuta wamepanga mistari Kwa Manabii/wachungaji kuomba...
Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3
Lakini wengi wao ni wale black beauties.
Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza...
Leo nimekumbuka moja ya kisa cha miaka tisa nyuma kilichomtokea dogo mtaani baada ya demu wake kukata betri getto kwake. Daah dogo baada ya kuona vile, naye akajitundika.Yaani wote walienda na...
Habari za asubuhi.
Leo nimekaa nikawa natafakari watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa.
Utakuta watu wawili katika uchumba wanapendana sana, wanaweka pamoja mipango ya maisha ya ndoa...
Habar wandugu,
Mimi ni kijana niko na 31 years naishi maisha ya kawaida sana. Najishughulisha na ujasiriamali, namshukuru Mungu kipato si haba lakini tatizo jamii inayonizunguka hawanikubali...
Habari wana bodi.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili, japo kuwa ni mshiriki mzuri wa kusoma na kutoa maoni kwenye mada mbalimbali jukwaani. Leo kuna kitu ningependa...
Unaonekana mrembo Mara anapita jamaa anakukatia mistari ,kwa sababu ya ujinga wako na we we unakubali on first day eti kwa vile jamaa amevaa vizur,handsome ama ana hela huo ni uzembe wa aina yake...
Habari maskini wenzangu
Kuna dada hapa jirani kwetu mtto wa kigogo mmja ivi maarufu sana ana matatz ya kupatwa na majini yana mfanya awe na nyege balaaaa
Wiki iliyopita usiku...
Wakuu salam,
Kuoa kuna raha sana, though sometimes kuna ups and downs, vijana tuoe
Nimetoka zangu kupiga mishe mishe kitaa ili nipate chapaa ya kumnunulia wife nguo ya skukuu na chenji aende...
Moyo wa mwanamke una uwezo wa kutunza siri zaidi ya serikali.
Wapo waliotoa mimba na wameambiwa hawatazaa tena. Wamekaa kimya.
Wapo walioolewa na kukimbia ndoa au kuachika, wametunza siri.
Wengine...
Ni kitabu kizuri ambacho kinamfundisha mwanamke kuwa mwanamke( kuna wanawake hawajui mwanamke anakuaje so matendo yako hua hayana tofauti na ya wanaume) . Ni kizuri kwa wadada lakini pia kwa...
Ikiwa bado siku chache kumaliza mwaka 2019 nimetafakari sana mambo ambayo mama anayafanya katika maisha ya mtoto wake.
mbali na kuwa nimekuwa mtu mzima ambaye najitegemea kwa kiasi kikubwa bado...
Mwanangu umeondoka bado nikiwa nakuhitaji ,umri wako mdogo na malengo hujayatimiza Vizuri.
Nilkusihi uachane na wanawake ona sisi mwanangu umeondoka bado mapema ,watoto umeniachia sijui...
Kuna demu mmoja hivi anaitwa Glory huyu demu nilimkubali ila tatizo ni moja tu nilikuwa namuogopa kumtongoza kutokana na the way alivyo na anavyojiweka anajiweka classic Sana ukimuangalia tu...
Ni hili treni la daladala reli ya Tazara, kuna bonge la dereva mshamba wa mji sijawahi kuona. Sijui ndo wa wakolomije, yaani njia nzima ni kupiga mahoni tu ni kama vile honi ya treni ni ya kuamsha...
WANAWAKE WAZURI HII INAWAHUSU SANA[emoji28][emoji7]
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo usidhani utamtetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na Akili zao kichwani urembo wako hauwasumbui uzuri...
Habari wanajamvi. Kabla ya kuanza kwa mtandao wa JF kulikuwa na mtandao wa DHW ambao member wengi tulihama tukahamia huku
Kama ulikuwepo Enzi zile naomba nyoosha mkono juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.