Wanandoa vikongwe zaidi duniani kusheherekea miaka 80 ya ndoa

Wanandoa vikongwe zaidi duniani kusheherekea miaka 80 ya ndoa

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
1577346923299.png

Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao.

Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na John (106) wanandoa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 80, ndoa yao inasemakana kama ndoa iliyodumu muda mrefu zaidi.

Ndoa ya kina Handerson imeingizwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness. Wawili hao walikutana chuo kikuu katika jimbo la Texas mwaka 1934, na ilipofika mwaka 1939 walifunga ndoa. Desemba 22 watatimiza miaka 80 ya ndoa.
 
walio wengi hawatimiz hilo hususan kwa ndoa za saiv! Juzi tu ndoa ina week mbili baba kaua make kisa chai
 
Back
Top Bottom