Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Without wasting much time, roll with me as i bring you the types of prostitutes. 1. Local Prostitutes These are the types of prostitutes my Yoruba friends calls "sarewa" meaning "rush come"...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Wakuu habarini za asubuhi na kwa wale wenzangu nawatakia ibada njema kabisa. Jamani wanaume naomba tukumbushane jambo la kuwa karibu,kuwajali hawa maua ya dunia,maana bila hivyo kumwegwa ni dk 0...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari poleni na majukumu,ya ujenzi wa taifa .Naenda straight to the point kwamba Mimi ni kijana miaka ishirini na nne lakini nimekuwa kila nikaaproach mwanamke sometimes nakataliwa sometimes...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ilikuwa ni asubuhi nikiwa nimetoka nje kuota jua na kupunga upepo uliokuwa ukipuliza vyema na kufanya hali ya hewa kuwa ya kuvutia zaidi. Nilitazama ndege jinsi wakikatiza kwenye anga na sauti zao...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hvi wajiskiaje pale unapompa zawadi mpnz wako lets say umempa shuka then one day unamfumania na mwngne na kitanda kimetandikwa zile shuka,utajiskiaje? Ina maana hajaheshimu upendo wako kwake mpk...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanamke ni ishara nzuri ya amani na utulivu,mwili wa mwanamke si wa vita bali ni kama ua ambalo likikosa kuhudumiwa hunyauka!. Uzuri na siraha kubwa ya mwanamke ni ulimbwende, ulimbwende wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna huyu demu ni wa kawaida tu, maji ya kunde flani hivi shepu ya kawaida flat ila tu nilimuelewa kwa sababu ana kasura flani hivi kazuri, mrefu kiasi ila sasa bhana alinilingia kinoma, ilikuwa...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kua kweli naamini mke mwema hutoka kwake hakika. Nilishakua na wanawake chungu nzima wakila sampuli wanene wembamba, warefu wafupi, weupe weusi lakini wewe mke...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Salamu kwenu waungwana Mwenzenu napitia kipindi kigumu sana kutokana na tabia ya huyu mwanamke Iko hivi ,nimekutana na huyu mwanamke mwaka 2011 ,tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana na...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Wadau, Kasumba ya vijana wadogo kuwahi kuingia kwenye ndoa na wengi wao baada ya muda mfupi ndoa kuvunjika..je wanakosea wapi? Je nini sababu ya kuwahi kuingia kwenye ndoa kwa vijana...na nini...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Ukifikisha umri fulani unatamani uwe na familia. Mtoto anapotaka kuoa au kuolewa wazazi wanafurahi sana. Kumkuta mtu wa 40+ hana familia hata bila kuuliza lakini unaweka???. Familia si lazima...
19 Reactions
49 Replies
5K Views
Kuna mambo tumeyakuta na tunayafanyia kazi bila sababu za Msingi...? Mfano hata hizi sikukuu tulizokuta... Mfano sijui tarehe 14 feb sijui siku ya mama au mwanamke... Hili suala la miaka 18 sijui...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za asubuhi. Ni matumaini yangu wenzangu ni buheri wa afya. Kuna hii kitu nilikuwa natafakari jinsi hali ilivyo kwa sasa katika jamii yetu. Kuna trend ambazo naziona ambazo zinaturudisha...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zanguni Assalam! Natumai mu-wazima wapendwa wengi wetu mkisherehekea pasaka. Iko hivi, imetokea tatizo kati yangu na mke wangu. Kiukweli nikiri kuwa mimi ndio chanzo cha tatizo. Jana...
26 Reactions
82 Replies
8K Views
Habarini wakuu, Naamini angalau kila mmoja wetu anahitaji kuwa mtoto. Wengine wameshafanikiwa na wengine bado. Je, wewe ambae una mtoto ni kitu gani kilikufanya uchukue hatua za kuamua kuwa na...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Wachepukaji uzi wetu huu sema vile ulivyochepuka, ulishachepuka na wangapi Nje ya mume/mke/mpenzi wako , Je ulishawahi kuchepuka kwa sababu ya Tamaa, Mfano kwa sababu ya Chura au muonekano wa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Msichana yeyote anayemsalti mpenzi wake "moto umuwakie, meno yambele yatoke ,nywele zote kichwani zitoke na pia apinde miguu Kwa mvulana anaye msaliti mpenzi wake " eeeh baba tusamehe sisi...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
yaonyesha huyu mwanamke alipigwa mambo na wanaume wawili kwa siku moja Cc Sky Eclat can u resolve this case!!? Kitaalam Inawezekana?
4 Reactions
79 Replies
8K Views
Unaniweza wezaaa,
2 Reactions
3 Replies
962 Views
Back
Top Bottom