Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni. Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada...
18 Reactions
254 Replies
28K Views
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu kipenzi sana ambaye tumetoka nae mbali sana, huyu jamaa huwa analia na kuumia sana kwa tatizo kubwa moja, anadai kuwa hapendwi na wasichana lakini hajui ni kwanini. Jamaa...
5 Reactions
92 Replies
8K Views
Wakuu nilikuja hapa na uzi siku chache zimepita nikijifaliji kua ninalo tumaini kuwa nitapata kipenda roho.. baada ya kuwa single kwa kipindi..kidogo. Nilikua nataman sana kupata wa kupendana...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia? Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona...
2 Reactions
88 Replies
19K Views
Wenyemichepuko mpooooo! Tag kero yako inayo yokufanya uwe na mchepuko. Wanandoa mpoooo. 1. Tamaa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
102 Replies
13K Views
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake. Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa...
40 Reactions
279 Replies
22K Views
Kuna vitu huwa najaribu vifikiria kwenye maisha najipa majibu tu kuwa sitoweza,maana kama ni kujaribu kuvaa nimeshajaribu kuvaa pete za urembo za kawaida tu muda mrefu ila nimeshindwa. Sasa...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
NUKUU KUU YA UZI "Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe" Hawa mabinti ni rafiki zangu, nimefahamiana nao tangu zamani sana...nakumbuka enzi hizo tulikuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hao walikutwa huko kwao wakijiachia kwa raha zao bila kujali watu wanawafikiriaje.. Mapenzi hayana chizi
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watafute watu kadhaa walio kwenye ndoa, mathalani watu 10 hivi. Kisha waambie unataka kuumba mtu mwenye taswira ya kufanana na ndoa, hivyo wakusaidie kupata picha kwamba mtu anayefanana na ndoa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wanaojua msaada tafadhali, nimeamua kuja kwenu baada ya hii hali kunitokea mara nyingi, hivi vitu vinaashiria nini? Katika hali isiyokuwa ya kawaida unajikuta mara kadhaa kwa nyakati tofauti...
0 Reactions
32 Replies
27K Views
Habari zenu ndugu zangu... Kama kichwa cha habari kinavyooeleza... Kidume ushapiga sounds zako, umeeleza hisia zako kinaga ubaga kwa Demu halafu Demu anakwambia "NITAKUPA JIBU NGOJA...
3 Reactions
118 Replies
21K Views
Week ijayo tarehe 26 my life partner ni anazaliwa nipeni ushauri nimnunulie nn km zawadi. Hii ni birthday yke ya kwanza kusherehekea pamoja tokea tuwe pamoja. Yeye ni kaka fulani ana appreciate...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Years ago when I younger, a kind of life a woman I knew. She was mine and we were sweetheart that's was then but then it's true. This is fairlytale, cause I don't care if I loose my mind...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Mwenzako sijaumbwa kuchukia ndio maana nipo fair. Tumeachana hilo najua Ila sichoki kukusalimia, ni salamu tu usihisi labda najipendekeza. Leo nimepita mahali nimekuta vitu uvipendavyo kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Out of anger, with no one you're going to feel as good as with me. I know; still you have your heart here, I dreamed only for you, what I do. You don't tell me only with a word, don't do this to...
1 Reactions
2 Replies
617 Views
TUJIFUNZE KITU HAPA Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria...
16 Reactions
132 Replies
9K Views
Last year December nilihook up na msichana mmoja hivi na tukaachana baada ya wiki mbili, mwezi huo nikapata mwingine sasa huyu niliompata ni wife material yani yupo full package. Tatizo ni yule...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu, Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom