Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mchana vijana wenzangu Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25 kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la Punyeto au kujichua kwa...
7 Reactions
137 Replies
21K Views
Wanaume wote waliopo kwenye ndoa wanatakiwa wapewe pongezi sana,kwa namna moja ama nyingine wameweza kuwawezesha mabinti (michepuko) kufanikiwa kimaisha. Popote pale ulipo,jipigie makofi ..... 👏👏👏👏👏
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ukimwita kuku akakataa kuja kisha ukaja ukamwita kwa kutumia mpunga/mahindi akaja. Huyu kuku atakua kamfuata mmwaga mpunga au mpunga? Au vyote kwa pamoja. Binafsi sijawahi kuwalewa hawa...
21 Reactions
95 Replies
10K Views
[emoji870] [emoji870] [emoji870] habari ya muda huu wanajanvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu , toa maoni yako ni jambo gani la upendo sana mwenzi wako ashawahi kulifanya na likakufurahisha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Twende moja kwa zote kwenye mada. Kuna binti mmoja karibia na mitaa ya kazini kwangu hapa nami naishi hapa nyumba za taasisi. Wiki mbili zilizopita katika pita yangu natokea...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Asalaam Aleykum waungwana Kiukweli nimejiuliza sana 1. Utumie choo kimoja na wakwe 2. Uangalie TV moja na mkwe 3. Ulalie godoro la mkwe atleast kwa wiki 1 4. Ule chakula ukweni kwa raha tu tena...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam wote humu. Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye simulizi. Ilikiwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, sekondari moja hukoo... Nikiwa A level boarding. Sasa akawepo dada mmoja binti mrembo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Najua unampenda sana yule kijana, na yeye pia kwa mwonekano anaonekana anakupenda kweli ila nakuomba umalize kwanza shule ndipo uamue kuolewa. Maisha kipindi cha uchumba huwa sio maisha halisi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
My age 30,mwajiriwa ,christian, 9 years experience in relationship so if your trouble maker automatically I will notice you .for serious conversation plz if ur interested pm me only one woman...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Salaam waungwana Nipo na mwanamke kwa miaka 8 tumezaa watoto wawili Kimaisha tunaishi mbalimbali,huyu mwanamke bado hatujafunga ndoa Siku za hivi karibuni alipokea taarifa kutoka kwa majirani...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake. Nimejaribu...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wana JF Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu. Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha. Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi kutokana na mambo ya ujenzi, wajuzi wanasema zege halilali. Nikajishauri...
20 Reactions
246 Replies
14K Views
Dah aseee wanajf nilikuwa juzi natokea mitaa ya afrikasana hapa mjini daslam mida ya alfajiri nilikuwa na gari ya boss wangu aina ya mercedes ndogo napeleka carwash fulani hapa afrikasana sasa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habar za muda huu wanajamvi. Nitaeleza kwa kifupi., Kama tujuavyo mabaharia tunapita na wengi kimasihara, sasa Ktk ptpt zangu nikapata zawadi ya mtoto nje ya ndoa, mama wa uyu mtoto hana maisha...
8 Reactions
204 Replies
25K Views
Kwenye kipindi cha "Leo Tena" clouds dr Mwaka kasema kwamba kuna mda analala na wake zake wote chumba kimoja. Wake zake wameonesha kupendana kweli japo kwa kawaida wake wenza huwa wana visa vya...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Mzuqa wanajamvi, Tafiti uchwara zinadai Yani natumia muda mwingi sana gym kila siku kumantain six-pack zangu lakini hawa watafiti uchwara kutoka Luton na Cambridge, vyuo vinavyoheshimika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mapenzi motomoto kila mmoja akijitahidi kuonesha upendo kwa mwenzie. Furaha iliyoje kujua mpo wawili tu, si unajua kuvaa jezi nyingi inavyochosha? Basi siku isiyo na jina nikajisemea hebu insta...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom