Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kadri ya maandishi ya wengi humu jamvini (hasa vijana wa kiume) inaonekana ni laana kubwa kwa mtu kuwa single mother. Nimekaa na kutafakari je, tunawatendea haki dada zetu hawa? Kuwasakama...
8 Reactions
110 Replies
10K Views
BARUA YA MAMA KWENDA KWA MWANAYE - SIKU TATU BAADA YA MAZISHI. Mpendwa mwanangu, Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masikini wakati nina mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukupa baraka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, natumai mu wazima Nakuja na mtazamo wangu kwa hili kundi la kina dada kujitangaza kutafuta waume. Kiukweli wengi wao umri kidogo umesogea lakini bado hawajakua wala kujifunza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote...
3 Reactions
101 Replies
15K Views
Wengi wetu hapa tumewahi kuwa na mahusiano zaidi ya mara moja. Mpaka leo unaposoma hii thread, umeshawahi kuwa na wapenzi wangapi, na umri wako katika mapenzi ni miaka mingapi.
1 Reactions
253 Replies
20K Views
Wakuu tupeane mbinu jinsi ya kudate na wanawake wanaopenda kuchat kupita maelezo! Kwa kifupi hiyo hali sijazoea najikuta naboreka badala ya kufurahia mapenzi ya kila mara baby upo wapi unafanya...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Laziness - Kills marriage Suspicion - Kills marriage Lack of trust - Kills marriage Lack of mutual respect - Kills marriage Unforgiveness - Kills marriage Forgiveness is not optional but...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako. Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada...
9 Reactions
72 Replies
8K Views
Baba yangu mzazi kaja juzi kutoka kijijini kwa matibabu.Nilimkatia tiketi ya ndege akapandie mkoani, mke wangu akadai ni uharibifu wa pesa kumsafirisha Mzee kwa ndege angepanda basi wakati mzee...
25 Reactions
387 Replies
55K Views
Jamani wanaume wenzangu hebu tupeane mawazo hivi unawezaje kuishi mwanamke mwenye kisirani na ukamvumilia Tunaposema mwanamke mwenye kisirani ni yule ambaye Ana maneno ya karaha yaani anaweza...
7 Reactions
305 Replies
29K Views
Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Am grieving for my chocolate, my sugar is very low; and only my chocolate can stabilize.... Just that, my chocolate drop.... Kasie Matata.
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke. Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Utakubaliana nasi kuwa ‘shule’ ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Jukumu la malezi linatoka kwa Mungu na mzazi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau mambo ni mengi muda mchache. Niliamua kumuacha ex wangu kisirisiri bila yeye kujua nikaanzisha mahusiano mapya nikijua ex atasoma tu alama za nyakati ata jimuvuzisha on na mwingine wala...
5 Reactions
152 Replies
11K Views
Jamani kuna wanaume ambao wanaoa then wanaenda kuweka kambi kwa wazazi wa mke yaani ukweni, hivi utakuwa na sauti kweli ya kuongea juu ya mkeo? c utakuwa kazi yako we kucheka tu kama ***** na...
1 Reactions
281 Replies
25K Views
ama hakika, hii ni ukweli 98% ebbbaaanaaae!!! mwanamke wako akiwa na matumizi haya ya smartphone, au akawa busy na baadhi ya mitandao ifuatayo ujue kua huyo sio wako ila ni cha wote...
15 Reactions
111 Replies
19K Views
habari ziwafikie. aseee muda huu nmestop kula K , coz "oobm" hahileti msisimko na mwili aseee dah , toto chuchu sa sita lipo hapa nataman mbigu , hipasuke... dah vijana wenzangu "ACHENI PUNYETO...
7 Reactions
66 Replies
17K Views
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom