Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Wachepukaji uzi wetu huu sema vile ulivyochepuka, ulishachepuka na wangapi Nje ya mume/mke/mpenzi wako ,
Je ulishawahi kuchepuka kwa sababu ya Tamaa,
Mfano kwa sababu ya Chura au muonekano wa mtu, Toa Ushuhuda ilikuwaje.
Vipi unategemea kuchepuka tena lini? Mambo yote hapa.
Wachepukaji tu.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app