Wajiskiaje???

reina

Member
Aug 11, 2011
52
8
Hvi wajiskiaje pale unapompa zawadi mpnz wako lets say umempa shuka then one day unamfumania na mwngne na kitanda kimetandikwa zile shuka,utajiskiaje? Ina maana hajaheshimu upendo wako kwake mpk atumie ulichomzawadia wakati anakusaliti?
 
Unapoamua kutoa zawadi basi jua kuwa lolote lawezekana. Kwa mfano, mtu unaweza ukamsaidia mpenzi wako na hela kwa ajili yoyote ile halafu mwenzio akaenda kuzitumia kula raha na mpenzi wake mwingine. Chini ya jua lolote linawezekana.

Ila inasikitisha na kuuma.
 
mkuu issue hapa ni zawadi ya shuka au mpenzi wako kutoa 'mshedede' ambao wewe ulikuwa unamiliki?
 
Hvi wajiskiaje pale unapompa zawadi mpnz wako lets say umempa shuka then one day unamfumania na mwngne na kitanda kimetandikwa zile shuka,utajiskiaje? Ina maana hajaheshimu upendo wako kwake mpk atumie ulichomzawadia wakati anakusaliti?
I think hapo there will be more important issues kuliko hilo shuka..., hapo issue jamaa amekusaliti na amevunja trust yako, mambo ya shuka...., well its a minor issue.

Unajua sometimes men don't think and care about sentimental things as women, to him a shuka is just a piece of cloth to cover bed not a sentimental thing which came for her girlfriend, maybe next time for a sentimental gift try something a bit more personal, sidhani kama wakati anapanga kula uroda kwa haraka akijua kwamba anaweza kushikwa angewaza kuanza mashuka na kuweka mengine (by the way anazo pair ngapi za mashuka)
 
wengine wanazawadiwa magari, halafu unakuta kiserengeti ndiyo kinatambia town..
 
poa tu. ukikuta iyo situation chamuimu ni KUOMBA MZIGO unaichapa mpaka unaitazama. coz mtu kama uyo uwezi kubadilisha ipo kwenye blood. cha muimu chapa iloaleeeeeeeeeeee.
 
Ukiishi maisha ya hivi, hutakaa umzawadie mtu kitu.

kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.
 
Unapoamua kutoa zawadi basi jua kuwa lolote lawezekana. Kwa mfano, mtu unaweza ukamsaidia mpenzi wako na hela kwa ajili yoyote ile halafu mwenzio akaenda kuzitumia kula raha na mpenzi wake mwingine. Chini ya jua lolote linawezekana.

Ila inasikitisha na kuuma.

hujakosea kbsa.ila inauma kwakweli maana hajaheshimu hata ulichomzawadia.
 
I think hapo there will be more important issues kuliko hilo shuka..., hapo issue jamaa amekusaliti na amevunja trust yako, mambo ya shuka...., well its a minor issue.

Unajua sometimes men don't think and care about sentimental things as women, to him a shuka is just a piece of cloth to cover bed not a sentimental thing which came for her girlfriend, maybe next time for a sentimental gift try something a bit more personal, sidhani kama wakati anapanga kula uroda kwa haraka akijua kwamba anaweza kushikwa angewaza kuanza mashuka na kuweka mengine (by the way anazo pair ngapi za mashuka)

lets say anazo nyingi bt akatoa hyo special kwa mgeni wake wa cku hyo. Hvi kumbe gals care abt minor issues eeh? Kazi ipo
 
poa tu. ukikuta iyo situation chamuimu ni KUOMBA MZIGO unaichapa mpaka unaitazama. coz mtu kama uyo uwezi kubadilisha ipo kwenye blood. cha muimu chapa iloaleeeeeeeeeeee.

aka!na mie najitoa.umeme njenje
 
Back
Top Bottom