Nawaza sana mimi, hivi ingekuwaje ?!

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kua kweli naamini mke mwema hutoka kwake hakika. Nilishakua na wanawake chungu nzima wakila sampuli wanene wembamba, warefu wafupi, weupe weusi lakini wewe mke wangu kweli ni wakipekee sana.

Nakupenda pasina mfano mke wangu kipenzi mama Adrian wewe ni chemchem ya furaha ndani ya roho na nafsi yangu ila nina maswali mengi sana na sina majibu sijui ingekuaje ??

Hivi ingekuaje kama ungekua kama hawa wadada wa mjini waliojaa tele ambao wao full kudanga, hivi ingekuaje ?!

Najiuliza vipi ungekua kama hawa wa makope bandia na mawigi, hivi ile style yangu nayokukamataga na kuzivuta nywele zako asili huku nimekubana barabara hivi ungekua mvaa mawigi yangekua yanachomoka hivi ingekuaje, tungekua tunaendelea au tunasubiri uvae kwanza tena ?!

Napenda navyorudi nyumbani toka job nakuta umeniandalia misosi nakula chakula chako hivi ingekuaje kama na wewe ungekua hawa wa "wanawake pia tunaweza" natoka kazini sikukuti home bado uko "kazini" unamalizia kazi ulizopewa na "bosi" hivi ningefurahia chakula alichopika house girl kwa mamna navyofurahia chakula chako ?! hivi ingekuaje ?!

Tunapolala najisikia vzuri unapojisogeza na kujilaza kifuani kwangu nikukumbatie, hivi ingekuaje kama ungekua kama hawa wanawake wa mashindano na magumbu na visasi hivi ingekuaje ?!

Tunapopishana unajishusha mpaka vumbi litulie ndo unanieleza kwa heshima na upendo na unyenyekevu upande wako, hivi ingekuaje ungekua aina ya wanawake wa kileo ngangari jino kwa jino full matarumbeta, hivi ingekuaje ?!

NAKUPENDA kwa mengi sana mke wangu, unajua napenda sana unaponikumbusha kusali kabla ya kulala, hivi ingekuaje ungekua type ya wanawake hawa waliojaa tele mjini wa movie za series mpaka usku wa mamane hivi ingekuaje ?!

Hebu subiri, kila neno baya unalosikia kuhusu mimi mengine hata hua ni kweli nimefanya ila daima unanitetea na kukataa kua mimi siwezi kufanya baya lolote, hivi ingekuaje kama ungekua aina ile ya wanawake wa kupokea maneno hivi ingekuaje ?! Sasa hivi najitahid kutunzia heshma yako mke wangu kwa maana kwa kweli unastahili kutunziwa hesma.

Wewe na mwanetu Adrian ndo mnanipa nguvu ya kuzisaka hizi pesa popote zilipo, hivi ingekuaje ningekukuta ulishazalishwa na "mwanaume mwingine" hivi ningempenda huyo mtoto pia kwa dhati au ningekua na neno juu yake ?!

Nakiri tabia yako yakutokua mpenda mitandao kweli inanipendeza, hivi vipi ungekua kila muda ni facebook upo, twiter haukosekani, instagram inakusubiri bado snapchat matakataka zote uto hivi ingekuaje kwanza hata jf huna time nayo, hivi ingekuaje ungekua kama Faiza Fox kutwa mitandaoni kujibazana na kubishana na wanaume hivi ingekuaje, ningeona sawa tu au nisingependezwa na je ingekuaje ?!

Hivi ingekuaje na wewe ungekua kama wanawake wa "haki sawa" mimi nikitoka na wewe unatoka mwanamke unarudi muda utakao hivi ingekuaje, unajua nakupenda kwa mambo mengi hata hili la kuomba ruhusa kila unapotaka kutoka.

Wewe inawezekana hujui tu mke wangu ila pia napendezwa na hulka yako ya kutaka kujua maoni yangu juu ya kila jambo upangalo hivi ingekuaje kama ungekua aina ya wanawake wanajiita "indpendent women" wao na maamuzi yao wana msemo wao "usinipangie" hivi ningeridhika na hali hyo je nisingeridhika ingekuaje ?!

Napata amani kwa jinsi ulivyo muwazi kwangu mpaka najistukia kua nakunyima privecy, hivi ingekuaje ungekua aina ile ya wanawake simu ina password ndefu kama mkojo wa mlevi na pattern juu na finger print lock hivi ningekua na amani au ningejifanya kua ninayo amani, je ningekua na vijimawazo kua unajambo baya huko ndani ya mapassword na mapatten au ingekuaje ?!

Mwisho naapa kufanya kazi kwa juhudi na unajua najituma sana wewe na mwanangu msipungukiwe jambo liwalo lolote, hata hali iwe ngumu vipi daima mtakua na ziada, tangu nikuoe sijapata kukuona ukitoa chozi na kamwe sitaruhusu utoke chozi kwa sababu yoyote na kama hyo haitoshi hautatoka jasho wewe ni malkia wangu.

Mmmh ila pia hivi ingekuaje kama nisingekuoa mimi ukaolewa na njemba nyingine, hivi ingekuaje ?!
 
Sijaulizwa "baby umekula nini" mimi mwenyewe ndo nilimbikiri mke wangu, sili makombo ya mtu tuanzie hapo.
Wanaume bwana tukiaza kuulizwa tu na mademu zetu "BABY UMEKULA NINI"

basi hapo break ya kwanza jamii forum alafu mkiachwa mnaanza oooh wanawake sio watu wa kuwaamini kumbe wewe umeleta UHAYA
 
Kwanza nimshukuru sana Mungu kwa kua kweli naamini mke mwema hutoka kwake hakika. Nilishakua na wanawake chungu nzima wakila sampuli wanene wembamba, warefu wafupi, weupe weusi lakini wewe mke wangu kweli ni wakipekee sana.

Nakupenda pasina mfano mke wangu kipenzi mama Adrian wewe ni chemchem ya furaha ndani ya roho na nafsi yangu ila nina maswali mengi sana na sina majibu sijui ingekuaje ??

Hivi ingekuaje kama ungekua kama hawa wadada wa mjini waliojaa tele ambao wao full kudanga, hivi ningekukuta na bikra yako kweli ?!

Kuna kufunga ndoa, kutafuta familia na watoto wa kulea
Na kuna kufunga ndoa kutafuta content, mambo ya kuongelewa
Kulia lia kwenye interviews, kuchafulia majina ma ex
Kupagawishwa na kubreak manews, kujichulia vifo kiwepesi
 
kastori kakulalia haka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Sana mkuu, kwa kupata mke mwema.

Na hi ndio shida.ni wachangiaji wachache TU wamemuamini mtoa mada,,kwa sababu wamezoea post za vilio TU na kuomba ushauri na misaada katika mahusihano na ndoa.

Kwaiyo wamejitengenezea negativity katika vichwa vyao kuwa hakuna ndoa zenye furaha ,,hakuna mke mwema.....

Yaaani mtu anajiangalia yeye alivo na jinsi anavoishi katika ndoa yake basi anajua wote wako ivo na wote wanaishi ivo.....that is the highest level of stupidity.

Asante mtoa mada umeongea ukweli mtupu,salamu kwa mama adrian

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Hivi ingekuwaje km huu mbarua mrefu ungemsomea uko uko mkeo akusikie....ivi imekujaje?!!

Hivi inakuwaje tukuamini km kweli mkeo anazo sifa zote izo bila ushahidi wa picha au video?!
Sasa ivi hatutaki uongo vujisha video tupate conection ndio tukuamini vinginevyo huo waraka wako subiria uje usimulie wajukuu zako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sijaona sehemu ameandika anaomba umuamini,,

Back
Top Bottom