Wanawake Mungu anawaona: Mapacha wenye baba wawili tofauti

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
yaonyesha huyu mwanamke alipigwa mambo na wanaume wawili kwa siku moja
F414A67A-04FA-413E-8D0E-5C6987A8FAC3.jpeg

Cc Sky Eclat can u resolve this case!!? Kitaalam Inawezekana?
 
Duh..Rashida jamani..alifikiria nn huyu kiumbe mwenzangu?.
 
Rashida alikuwa busy pia si mchoyo.
Mbegu za mwanaume zinaishi masaa 72 ndani ya uke.
hii INA maana ali sex na Huyo mwingine after 72hrs??? hivi kitaalamu kama yai la upande mmoja limekuwa fertilized , INA wezekana na la upande mwingine linaweza kuwa ovulated? kw a kupishana muda huo? au hii hutokea Mara chache??
 
Inamaana aliposex an wakwanza yai halikuwa tayari kakini mbegu zilikuwa na uhai. Aliposex an wa pili yai lilikuwa tayari na mbegu zanwanaume wawili ziliingia
 
Nimekumbuka story mojawapo japo siikumbuki vizuri.

Waziri mmoja katika nchi mojawapo Afrika alipigwa xray kwenye hospitali mojawapo akaambiwa ana mende kwenye kifua chake, akawabishia na ikaonekana ni vyema warudie kupiga Xray.

Mende akawa bado yupo kwenye kifua baada ya xray kurudiwa. Waziri akaona isiwe tabu, akaenda zake ulaya.

Kule ulaya wakaona hamna mende kwenye kifua chake. Kwa sababu alienda na ile picha , wakabaini xray machine yenyewe ndiyo ilikuwa na mende kwa ndani kwa maana hiyo mgonjwa akipigwa picha na mende anakuwepo.

Africa bwana.
 
Hili jambo linawezekana kabisa, mbegu za mwanaume ni x na y, x zinatoka kwa kasi ndogo ila zinaishi mda mrefu almost 72 hrs

Y zinachupa kwa kasi ila zinaishi mda mchache, hivyo basi kama y zitaruka zikakuta yai la mwanamke limekomaa litarutubishwa

Na x kama zitachupa zikakuta yai halipo zitakaa zitangoja yai, ila hii itategemeana na mwanamke atatoa mayai mangap katika mzunguko wake wa mwez huo,.
Kama akitoa mawili kwa muda tofauti au siku tofauti na akasex na watu wawili tofaut ndan ya mda huo kila yai kuna uwezekano likarutubishwa na mbegu tofauti
 
Rashida alikuwa busy pia si mchoyo.
Mbegu za mwanaume zinaishi masaa 72 ndani ya uke. Hivyo ni kuwa yai liliposhuka mbegu za wanaume wawili zilikutana.
Haha eti sio mchoyo!! Nilisomaga advance kwamba mbegu moja ikiingia tu basi ata ule ukuta wa ovum unafunga na kutokuruhusu nyingine kupenya.

Mbona kama prob ni ndogo sana ya mbegu mbili tena tofauti kurutubisha ilo yai
 
Nimekumbuka story mojawapo japo siikumbuki vizuri.

Waziri mmoja katika nchi mojawapo Afrika alipigwa xray kwenye hospitali mojawapo akaambiwa ana mende kwenye kifua chake, akawabishia na ikaonekana ni vyema warudie kupiga Xray.

Mende akawa bado yupo kwenye kifua baada ya xray kurudiwa. Waziri akaona isiwe tabu, akaenda zake ulaya.

Kule ulaya wakaona hamna mende kwenye kifua chake. Kwa sababu alienda na ile picha , wakabaini xray machine yenyewe ndiyo ilikuwa na mende kwa ndani kwa maana hiyo mgonjwa akipigwa picha na mende anakuwepo.

Africa bwana.
Haha na kuna vi meme kabisa za hii stori nilionaga kapicha
 
Hili jambo linawezekana kabisa, mbegu za mwanaume ni x na y, x zinatoka kwa kasi ndogo ila zinaishi mda mrefu almost 72 hrs

Y zinachupa kwa kasi ila zinaishi mda mchache, hivyo basi kama y zitaruka zikakuta yai la mwanamke limekomaa litarutubishwa

Na x kama zitachupa zikakuta yai halipo zitakaa zitangoja yai, ila hii itategemeana na mwanamke atatoa mayai mangap katika mzunguko wake wa mwez huo,.
Kama akitoa mawili kwa muda tofauti au siku tofauti na akasex na watu wawili tofaut ndan ya mda huo kila yai kuna uwezekano likarutubishwa na mbegu tofauti
Umeconsider ile idea ya ukuta wa ovum!?
Au pia niulize sikumbuki tena bios mimi ni zamani nilimeza meza haya madudu... inachukua masaa mangapi kwa ukuta wa ovum kufunga pindi mbegu moja ikishapenya?

Cc Sky Eclat
 
Back
Top Bottom