Weka dua yako kwa wasaliti

Weka dua yako kwa wasaliti

Mwanaume yoyote anaemsaliti mke wake au mpenzi wake
"Mvua ya mawe imnyeshee, virusi vya Corona visimuache, kitendea kazi chake na kisinyae, mikono yake iote funza, kila hela anyoshika ipoteee."

Kwa wanawake
"Mungu atusamehe"
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume sisi tuna huruma sana haiwezekani Mimi demu hanitongoze alafu nimkatalie Mimi nimekuwa nani ?
 
Wanaume wasaliti wote wapate ajali, ambulance ikija kuwachukua nayo ipate ajali idondokee kwenye mto, mtoni samaki mkubwa aje awameze, samaki avuliwe na binadamu kabla ajaliwa paka aje ale yule samaki amvunje vunje. Sidhn km wtbk ata alama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom