Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi iweke upande wako... Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri. Na kukunanga kama mtoto mdogo. Hujisugui vizuri ukienda kuoga... Wewe (Mume) unamjibu twende tukaoge wote ukanisugue...
0 Reactions
100 Replies
13K Views
BEST TIME TO MAKE LOVE TO YOUR SPOUSE Yes, you should make love anytime you both want to but here are strategic times you don't want to miss and means the whole world to your spouse. Make your...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu inakuaje?? Kumekuwa na baadhi ya kundi la baadhi ya wanaume kuwasema wanaume wenzao wanaogharamia kuwa ni wazembe mara vichaa mara hawajitambui. Kila mtu ana ideology zake ana perceptions...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" .....nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
*MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA* Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka yote kazini nimekuwa nikikwepa sana mahusiano na wafanyakazi wenzangu kwa level zote. Nimeanza pata changamoto kazini. Tuna Secretary mpya mwezi wa 8 huu. Huyu dada ni mzuri na pia smart...
26 Reactions
113 Replies
13K Views
2015 ni mwaka ambao nitaukumbuka sana kwani nimefanikiwa kuwagegeda mademu zaidi ya 28, kati ya hao 7 ni wake za watu, tena wawili ni wake za wapangaji wenzangu walijipendekeza nikawapiga chezea...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Hey What's up everybody Le me share dis ting to u guys u lookin for a husband/wife/boyfriend/girlfriend U know what body That's not means usitafute but I want to tell you one thing Kila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenye mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume wanaume mnapotoka sana ili neno la kusema "unapendwa" oooh sijui yule mwanamke anakupenda tangu lini mwanamke akakupenda wew mwanaume, mwanamke...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi... Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa... Mnafundishwa kutupikia PILAU...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NIKO lodge moja mitaa flani hapa. Kuna manzi aliniendesha Kama kigari cha mafunzo ya udereva. Sasa Leo kakubali kuja kuachia mapaja kwa hiyari yake. Yupo njiani hivi. Hapa naona moja haikai ...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Ikitokea umehamia nyumba nyingine ya kupanga na ukakuta Ex wako ndiyo amehamia jana tu, utafanyaje? Tupe Mtazamo Wako Hapo Nini Utafanya Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Leo nimejiskia kufanya fujo humu. I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi, yaani ni watu reserved mnaogopa ku-explore. Some of this group...
28 Reactions
259 Replies
42K Views
Wadau habari zenu. Kuna muda ninakaa na kucheka sana nikisoma majina na avatar za members humu jamii forum. Psychological huwezi kukaa tu ukabuni jina ambalo halina maana flani kwako, hata kama...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Maalum kwa wale ambao bado hawafahamu *Mtakatifu Valentino* Mtakatifu Valentino alikuwa ni padre wa Roma (Italia) ambaye aliishi kwa kuishuhudia imani ya kikristo kati ya mwaka 197 na 273. Kanisa...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Mimi nataka niulize hivi binadamu wote wanapenda romance au ni baadhi? Pia ninavyojua ni rahisi kufanya sex na mtu usiyempenda, lakini ni ngumu sana kufanya romance na mtu usiyevutiwa nae...
6 Reactions
166 Replies
20K Views
Hellow wapendwa , Poleni na majukumu Leo nimejisikia tu vyema kuandika hili jambo mana huenda kuna anayelia lia huko akidhani yuko peke yake /dunia imemtenga Jibu ni HAPANA , amka , hauko peke...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za humu wakuu.... Ni siku 9 tu zimebaki ifike siku ya wapendanao duniani. Najua kwa tulio na wapenzi tumejipanga ipaswavyo kuhakikisha siku hiyo tunayahuisha mahusiano na wapenzi/ wake...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?Je ni kwa sababu ya umri umefika, au ili kuondoa upweke ulionao,au ili kupata watoto,au kusaidiana kimaisha, au ili upate uhakika wa tendo muda wote...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom