Mwili wa mwanamke unahubiri amani na si uhuni!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,577
Reaction score
89,222
images.jpeg

Mwanamke ni ishara nzuri ya amani na utulivu,mwili wa mwanamke si wa vita bali ni kama ua ambalo likikosa kuhudumiwa hunyauka!.
Uzuri na siraha kubwa ya mwanamke ni ulimbwende, ulimbwende wa mwanamke hauwezi kuupata vitani!! Maana haupiganiwi!!

Mwili wa mwanamke kwangu ni msingi mzuri wa kujua nini kinahitajika duniani!!
Bila amani wanawake hupata tabu kwenye kuzaa,wakati wavita ni jinsia ya kike ndio huathirika zaidi!! Amani ipo kwao wanawake ila wachache wamekuwa hawalijui hilo! Wao ndio pango la ulanguzi na pia wengine hutumika kupindisha ukweli!!!

Nafasi ya mwanamke kwetu sisi wanaume ni ishara ya nini kinahitajika duniani.. uzuri uliotukuka ni fahari ya ailindae amani.

Nawapenda wanawake hasa wanaoijua nafasi yao na wenye utulivu wa akili..
 
amani wapi me nikishaona tu mwili wa mwanamke akiwa nusu uchi akili yangu yote inapagawa nachanganyikiwa kabisaa nakosa utulivu na amani ya moyo inapotea kabisaaa, hiyo amani unayoizungumzia sijui ni ipi???
 
View attachment 1364030

huyo manzi wa kwenye hiyo clip tayari ameshavuruga amani kabisa ...
 
sie wahanga wa hao viumbe unaowazungumzia tunacomment wapi
 
amani wapi me nikishaona tu mwili wa mwanamke akiwa nusu uchi akili yangu yote inapagawa nachanganyikiwa kabisaa nakosa utulivu na amani ya moyo inapotea kabisaaa, hiyo amani unayoizungumzia sijui ni ipi???
Amani kama amani wewe uliyonayo ni Vita inayotakiwa ikatulizwe mahala husika na kiumbe husika chenye amani
 
Mwanamke = amani. Basi tuwe nao kwa wingi ili tupate kiasi kikubwa cha amani hehe!
 
Back
Top Bottom