Ilikuwa ni kazi ngumu ilinichukua takribani Miezi mitatu moyo wangu kukubaliana na matokeo sasa mpenzi wangu kanichoka haitaji kuendelea na mimi na ananifanyia kila aina visa vitavyonifanya niumie...
Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa
Italia
WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE
1. God will teach him/her how to love you through prayer
2. God will reveal things...
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu...
THINGS WIVES SHOULD KNOW.
1. Don't put anyone above your husband. Your husband comes first in the order of your relationship.
2. Don't deny your husband attention. Sexual and romantic attention...
Habari zenu Jamaa,
Napenda kujua kati ya vitu ivi ambavyo nimepita pahala nikaona ubishani huu.
Ni kitu gani watoto wa kike wanapenda kwa mwanamme kati ya ivi viwili;
Namba 1. Mwanaume mwenye...
Habari wakuu,
Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hii namba (Namba 0623600...) ila kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)
Ukiona tu chatting zake unagundua wazi...
Kuna jambo linatokea hapa naona kama marafiki wananitenga jamani nifanyeje? Maana yake sijui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni...
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.
Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne...
Mahusiano ni kama Gari la masafa marefu, Tena lenye linapitia barabara yenye mashimo, milima na mabonde.
Inabidi muda wote ucheze na usukani, ukilala tu utajikuta ulisha acha barabara mda mrefu...
Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.
Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama...
Habari za alfajiri wananzengo.
Bila shaka mtakuwa mmeamka salama
(Tuseme alhamdullilah), nami nikaona angalau niweke hiki kisa changu cha ukweli ili kuwa changamsha kidogo na haka kabaridi ka...
Habari wana JF.
Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.
Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua...
Habari wadau?
Ukiishi duniani ni vigumu kuwaepuka jirani marafiki ndugu nk. Lakini kuna mahali ambapo unapitia unahisi kabisa mtu fulani anakuumiza kwa vitendo vyake anavyofanya kwa kufanya mambo...
Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure...
Kama swali linavyojieleza hapo juu
Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha?
Mimi upande wangu...
Sasa leo nataka tuweke wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu.
Mimi binafsi nime-notice kwamba wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiona kwamba...
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu?
Maoni yenyu tafadhali...
Ni Kaka yangu tumezaliwa mama mmoja baba tofauti,miaka 10 iliyopita alinipigia simu akaniuliza kama nina mpango wa kuoa,nikamjibu naaaamu nina mpango huo ila bahati mbaya kila nikiangaza hukuhuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.