Kwanini watu waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure kuliko ambao hawajaoa?

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,851
2,000
Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure kabisa.

Walio oa hutuona sisi ambao hatujaoa kua tunagumia gharama sana kupata tendo au kula tunda, wanasahau kua hapa Duniani there is ain't no such thing as a free lunch (free nyapu).

Mwanamke yoyote Duniani hakuli nyapu bila kua na uhakika kua utamtimizia mahitaji yake. Women only give sex to get their basic needs. Sisi tunaonunua na nyie mliooa wote we pay for sex, sisi ambal hatujaoa we pay for take aways nyie mliooa mnalipa full time ila factor ni moja tu, tunapewa pale tunapohakikisha mahitaji yao tametatuliwa au yatatatuliwa.

Hua nashangaa mtu ananiambia, ukioa unapata nyapu bure, wanasahau kua hakuna mwanamke Duniani anatoa nyapu bure, hayupo. Hata vile mwanamke amapokubali kuolewa na wewe ni ana uhakika kua utamtimizia mahitaji yake ya msingi, utagharamia na kuilipia nyapu yake.

We all pay for sex in one way or another. Sex is pricey. Mliooa mnalipia sex in both cash and in efforts, sisi bachelors we only pay cash for sex.
 

Bradha

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
8,732
2,000
Hakimu mbona kama umepanick?
Hujawahi kuona watu wameoana na hawana uwezo wa kujikimu?
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,907
2,000
Mabachela mnakula vimada, bar maids, sexworkers, lazima ukalipe hotel pesa nyingi na usafiri juu. Inakuchukua wiki nzima kumuwin unayemtaka hata ukimpata huwezi kudumu naye....that is cheap but expensive.
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,907
2,000
Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .


Sent from my iPhone using JamiiForums
Inaonekana ulipata insult wakati wa utoto wako. You need healing power man.

You were deprived of love in your childhood so you will never exercise love and you will never enjoy the creation of God.

You hit and run because you have no sense of love neither happyness.
 

Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
3,733
2,000
Write your reply...Write your reply... bachelor huwa ni raha sana Leo unakuwa na demu huyu ukimkinai unaenda kwa mwengine vipesa vya outing au kuhonga ndo vitakutoka yaan hapo napata nyama na maziwa bila kuwa mfugaji au kupata complications za ufugaji


walioa poleni sana NAONA hapo juu kuna mmoja kashaanza na povu nyie pambaneni na hali zenu

nikitaka kuzaa nazalisha mmoja sioi kabisa na bado nikitaka nitapasha kiporo si unajua tena wazazi hawaachani
 

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,175
2,000
Duuh ndoa unafananisha na kununua Malaya???

Ndoa ni zaidi ya sex, ndoa ni ujenzi wa familia na zaidi ya yote ni kutimiza agano na kuijaza dunia to keep it going. Kuna majukumu mengi ya mke/mume ni kwa ajili ya familia sex inakuwa chachandu tu ndani ya haya yote.

Umekuwa na mawazo mafupi mnoo labda kwa sababu ya utoto...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

king mbappe

JF-Expert Member
Jul 26, 2018
741
1,000
Duuh ndoa unafananisha na kununua Malaya???

Ndoa ni zaidi ya sex, ndoa ni ujenzi wa familia na zaidi ya yote ni kutimiza agano na kuijaza dunia to keep it going. Kuna majukumu mengi ya mke/mume ni kwa ajili ya familia sex inakuwa chachandu tu ndani ya haya yote.

Umekuwa na mawazo mafupi mnoo labda kwa sababu ya utoto...

Sent using Jamii Forums mobile app
hiki kizazi cha pornography kinahangaika sana na ulimwengu. umeongea points Mago, big up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,851
2,000
Siwezi kukaa na Mwanamke ntamchukia tu coz I’m a very selfish Man. She has to come and go thenafter I dump her and move on with another.
Kwa kweli wanawake nawatumia tu na kuwaacha.
Mimi ni muongo, mbinafsi na sina huruma na Mwanamke .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanawake sio wa kuonea huruma. Ni kuwala tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom