Ni lazima umfikishe?

thebogo055

Member
Jun 22, 2020
19
176
Habari wana JF.

Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.

Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani.

Namaanisha mnapokuwa kitandani basi hakikisha mnaponyanduana basi yeye ni muhimu kufika kileleni.
Kuna story nyingi za wanawake utasikia aah nimeenda kwa jamaa nilichokikuta ni aibu yaaani amenichafua tu hakuna lolote.

Turudi kwenye mada, juzi jirani yetu tumemkuta ana simanzi kweli. Katika kuuliza ndio tukapata habari kuwa mwanamke wake kakutwa anatoka na mpaka rangi za kucha mchana kweupeee.

Ukatokea ugomvi, sauti za ukali zikiambatana na matusi kwa bahati nzuri mpaka rangi akafanikiwa kutoka mbio lakini bila vifaa vyake vya kazi.

Maana story ni kuwa jamaa kakutwa kamuinamisha mwanamke sebleni huku suruali ameshusha tu bila kuvua.. wazungu wanaita quick sex.

Sasa katika ugomvi wa jamaa na mwanamke wake ndio bidada akaamua kufunguka kuwa jamaa hamfikishi popote... kila wakifanya jamaa akikojoa yeye basi na mchezo umeisha mwanamke anabaki njia panda.

Mwanamke anasema mwanzo haikuwa hivyo kwa jamaa ila baada ya kuishi wote ndo hali hiyo ikaanza kumtokea jamaa..

Amelalamika sana lakini anajibiwa eti ni uchovu wa kazini ndo mana anafika mapema na hawezi kurudia.

Mara nyingine anamlaumu mwanamke kuwa siku hizi kawa mgumu kufika kileleni kwasababu mawazo yake yapo mbali wakati wa tendo.

Ndio hivyo jamani tuwafikishe watu wetu na kama hatuwezi basi tutafute solution mapema kabla hatujaamua kuwaweka wanawake ndani.
 
Mwanamke haridhiki, fanya yalio ndani ya uwezo. Utakazania kumtia dudu aridhike bill zikija hela huna atalalamika tena. Utakazania kutafuta pesa ili maisha yawe bora atasema huna muda nae!

Sasa wengi huwa tunapima kati ya ngono na maisha mazuri kwa ujumla kipi kinafaa kuweka focus ndio yanakuja kutokea hayo ya mpaka rangi kupiga pumbu wake zetu.

Binafsi naona kuchukulia mwanamke kama chombo cha starehe kuna save from a lot of endless stress! fany kidogo tafuta hela zaidi. Lazima kuwe na balance!
 
Mwanamke haridhiki, fanya yalio ndani ya uwezo. Utakazania kumtia dudu aridhike bill zikija hela huna atalalamika tena. Utakazania kutafuta pesa ili maisha yawe bora atasema huna muda nae!

Sasa wengi huwa tunapima kati ya ngono na maisha mazuri kwa ujumla kipi kinafaa kuweka focus ndio yanakuja kutokea hayo ya mpaka rangi kupiga pumbu wake zetu.

Binafsi naona kuchukulia mwanamke kama chombo cha starehe kuna save from a lot of endless stress! fanya kidogo tafta hela zaidi. Lazima kuwe na balance!
Mkuu mada zako pedwa

Assalamualaikum
 
Habari wana JF.

Mwanamke anasema mwanzo haikuwa hivyo kwa jamaa ila baada ya kuishi wote ndo hali hiyo ikaanza kumtokea jamaa..

Hapo ndio kiini cha tatizo kilipo. Binadamu hua tuna tabia ya kukinai kitu hasa ukishakaa nacho muda mrefu. Utakuta ukiwa na mkeo uliemzoea ukipiga kimoja tu umechooka, ila ukiwa na mchepuko mpya mnakesha.
 
Wahuni watafunua sana sketi ya mke wangu, yaani siwezi kupoteza mda wangu kumridhisha huyu kiumbe. Kwenye sita kwa sita mimi nkimaliza na mchezo ndo umeisha hayo mambo ya kukata kiuno kama panga boy siyawezi. Natafuta pesa tu kwa ajili ya mimi na watoto wangu huyo mwanamke ni bonus plan tu awepo ama asiwepo ni irrelevant
 
Habari wana JF.

Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.

Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani...
Wanaume wengine hawawezi ujue sema.wanawake wanafichaga mengi tu hawasemi.
 
Wahuni watafunua sana sketi ya mke wangu, yaani siwezi kupoteza mda wangu kumridhisha huyu kiumbe. Kwenye sita kwa sita mimi nkimaliza na mchezo ndo umeisha hayo mambo ya kukata kiuno kama panga boy siyawezi. Natafuta pesa tu kwa ajili ya mimi na watoto wangu huyo mwanamke ni bonus plan tu awepo ama asiwepo ni irrelevant
Mh hatari sana. Inaelekea anakukeraga mno sio kwa comment hizi
 
Habari wana JF.

Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.

Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani...
Shida yao unakuta mtu kabla hajaolewa kila siku anagalagazwa na watu kama wa tatu na bado ana macho makavu kama dagaa wewe ukija baada ya stress za maisha na mapombe ukipiga kamoja chali.

mbinu aanza kabla ya shoo mchezee mpaka achoke na apige kabisa kimoja.wewe ukianza nagoli yanakuwa yanasoma 2 kwa moja hapo ndio atakuwa anakuita Dady kabisa
 
1: sio lazima umfikishe kama majukumu yote muhimu ndani ya nyumba unafanya.
2:hakuna aliyekamilika, amfikishe mwanamke, na wakati huo huo matumizi yooooote atowe asiwe na kasoro? Hii haipo
3: ufikishwe , uhudumiwe 100% wewe ni nani?
4: kuchepuka ni tabia ya mtu asisingizie kutofikishwa.
5: hakuna watu warahisi kuchepuka kama wake za watu yaani unakuta eti ana shida ya elfu 50 afu kachepuka kweli? Au kwakuwa wameshachepuka hawana cha kupoteza?

Kwa kweli wake za watu wanaongoza kushiriki zambi za kijinga.
 
Kumfikisha ni jukumu muhimu kuliko hata hayo mahitaji unayomtimizia.Wanawake huwajui nini
 
Kumfikisha ni jukumu muhimu kuliko hata hayo mahitaji unayomtimizia.Wanawake huwajui nini
Mm ni mwanamke najua ninachokiongelea. Mwanamke anaekupenda anaweza kukuvumilia kutomfikisha kuliko kuvumilia kukosa matumizi mengine. Endelea kubisha na kujidanganya ati hitaji kuu la mwanamke ni kufikishwa.

Unless kuchepuka iwe ni tabia yake.
 
Wengine huku wanawake wanatukimbia maana hatutumii dawa ila vyetu kimoja tu. Ila hiko kimoja jiapange. unapiga mzigo huku unawaza mbali kabisa"bao"linapotea kabisa na mshale unasoma saa 6 mchana mpaka mwsh wa gemu, hapo she lazima awe ana sio chini ya 3 . nikitaka kufinish narudisha mawazo tu katika gemu nashusha mzigo. tujitajitad kufanya mazoezi na kunywa maji mengi
 
Back
Top Bottom