Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wakuu, Kama unanua hutakia kuoa au kuishi na mtu kinapenzi, basi acha kutolea udenda Majirani zako. Kutembea na Jirani yako ni sawa na kujiingiza mwenyewe Korokoroni,bora uoe tu. Kama...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine...
20 Reactions
148 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada nisiwachoshe ndugu zangu wa JamiiForums. Nimekuwa nikisoma mara kadhaa humu kuwa hawa mabinti wanaotusaidia kazi nyumbani mayai yao yapo karibu sana yani ukigusa tu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani haya mapenzi ni utata sana, yaani mtu anaweza akawa na wewe kwasababu amekupendea pesa na wakati huohuo yupo na mwingine kwasababu nyingine. Je, mapenzi ni pesa? Jibu: Hapana mapenzi sio...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na matukio ya wadada kuwakataa wanaume wanapotaka kuwavisha pete, tena mbele ya watu wengi wanaoshuhudia tukio. Jamaa unapiga goti pale, mdada huyoooo hana...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu. 1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Miongoni mwa vitu adui amefanikiwa zaidi kwa kina dada ni suala la mavazi, amewaacha waende kanisani lakini amewazuia wasivae vazi la Utakatifu na kuwapa mawazi ya kikahaba. Wasichana wengi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nina maswali mengi najiuliza bado sijapata jibu sawa sawa, nilikutana na wasichana 3 tofauti kwa muda, miezi na siku tofauti, wasichana hao umri umeenda, walikuwa wakilalama kuhusu yanayo wasibu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanaJamiiForums Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo...
13 Reactions
143 Replies
12K Views
Habari wanaJF wenzangu.. Kama kichwa kinavyojieleza Nikianza na mimi dahh. Ni vingi sana ila nitajitaidi kuwaelezea vichache kama ifuatavyo; 1. Ananipenda sana 2. Bikira 3. Hawezi kuishi...
1 Reactions
230 Replies
20K Views
Nisaidie hili, Mfano Wewe ni mkazi wa Tabora ila unafanya kazi Mwanza ukawambia nyumbani wakuolee Mke wakakuolea wakati unakuja kukutana na Mke wako Ulipofika stend Tabora kabla hujafika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu. Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu, Hivi ni sahihi pale uko na mpenzi wako yapita mwaka, miaka hajawahi kukuambia kuhusu ndoa au labda alikuhaidi kuja nyumbani lakini siku zayoyoma hakuna matokea yoyote je, ni sahihi...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Natumai hamjambo wananzengo. Kuna rafiki angu anafanya kazi bank, siku1 huyu bwana alitambulishwa kwa mke wa rafikie walosoma nae chuo bahati nzuri yeye alibahatika ajira. Yule bwana baada...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, nimeenda shuleni kwa mwanangu, ghafla nashangaa mwalimu anataka kumpiga mwanangu mbele yangu, ilibidi nimuijie juu, maana nimefikiria mtoto bado mdogo na malezi ninayompa nyumbani ni...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia...
15 Reactions
88 Replies
20K Views
Naomba twende Sawa Kimahaba, yaani katika mapenzi Ni hivi Wanawake wote Ni Sawa, wote watamu kitandani, wote wazuri na wote Ni Mashaalah Haijalishi amesoma hajasoma amejijenga au tegemezi kwenye...
4 Reactions
151 Replies
12K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wapo wanaume ambao hupata marafiki wengi wa kike kirahisi kuliko wa kiume. Nini sababu? Ingia kwenye hoja dondosha jibu lako
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jamii Forums Twende moja kwa moja kwenye mada, Vijana wa leo wamekuwa wakurupukaji na malimbukeni,kwenye swala kuoa Wamejikuta wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Iko hivi KOP... Kuna jamaa yangu huyu ana maisha ya ngono hasaa.. Kunywa pombe na kula papuchi alianza tokea A'Level.. Yaani wauza maandazi wote wa canteen aliwala hao O'Level ndio balaa...
28 Reactions
286 Replies
30K Views
Back
Top Bottom