Jana nilikutana na class mate wa utotoni. Tuliachana tukiwa shule ya msingi, mzee wao alistaafu walirudi kwao huko mikoa ya Bara.
Huyu rafiki alikuwa mmoja wa vipanga darasani na aliitendea haki...
Wakuu mambo niaje.
Niende moja kwa moja katika mada, kumekuwa na mahusiano ya siri sana unakuta mtu kaanzisha mahusiano na binti fulani au mvulana fulani lakini mahusiano hayo ukute dada...
Habari za asubuhi wakuu, niwatakie Eid mMubarak kwa waislam wote, bila kupoteza muda nije kwenye maada, je umewahi kusoma chuo mpaka ukahitimu bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni yaani...
Kuna wanawake wanahatarisha maisha yao na kama wanaume ndio wanawashauri hivyo wakiwa huko mafichoni basi wamechemka
Mwanamke unakuwa na mchepuko na mume wa mtu halafu unatumia mbinu mbalimbali...
natumai hamjambo wanajamvi.
binadam tumeumbwa na matamanio na kuna mda tunatamani hata visivyotuhusu, je ushawahi kumtamani rafiki wa mpenzi wako? na je ulifanyaje baada ya kumtamani?
kwa upande...
Mi binafsi nimeona ni bora kumtongoza yule usiyempenda. Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari apunguze au akate kabisa urafiki endapo atanikatalia.
Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari...
ACHA KUUTESA MOYO WAKO
Naomba Nisikilize Dada Yangu Kipenzi,
Unajua Inashangaza Pale Ambapo Mwanamke Mrembo Unang'ang'ana na mwanaume Ambaye Hata Hana Muda wa Kukufikiria.
Yaani Unapoteza Muda...
How We Ignorantly Destroys Our Marital Home.
Rev. Funke Felix-Adejumo
---------
Many of you, even though your husband's are physically alive, some of you have killed them with the way you speak to...
12 THINGS YOU MUST NOT DO AS SOON AS YOU GET MARRIED
By Pst Bisi Adewale
There are many things an unmarried person will do and go away with it, but once you are married, it comes with the...
Wakuu salaam??
Leo nakuja tena na uzi wangu huu
Natafuta mchumba aliye serious na uchumba
Mimi ni mwanaume
Miaka 27
Mrefu wastani ,Mweusi wastani
Najishughulisha na biashara za hapa na pale...
Wanabodi habari za jumapili,
Jana usiku niliota nimepata mtoto wa kike mzuri sana mama yangu mzazi akiwa amemshika akimbembeleza. Sasa leo hii asubuh napewa taarifa hizi kutoka kwa mpenzi wangu...
Mimi ni kijana wa miaka 30, sijaoa lakini niko kwenye mahusiano na Dada mmoja ni mwaka wa nne sasa. Nina kazi nzuri tu na kipato kizuri na kwakweli najitahidi kumhudumia huyu Dada kwa kila kitu...
Katika jamii yetu ni kawaida kusikia mwanaume akisema sifungi ndoa mpaka nimiliki kitu flani mfano nyumba au gari n.k. mtazamo wa mwanaume huyu katika jamii asilimia kubwa watakubaliana naye...
Kwanza nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniponya na hili janga weekend iliyopita. Mimi Kama kijana nipende kuwashauri vijana wenzangu kuwa waache pombe japo ni ngumu sana...
Salam Wana MMU.
Baadhi ya wanandoa baada ya kufunga ndoa na kukaa miaka kadhaa na wengine hata bila kukaa sana kuna hii shida huwa inajitokeza:-
Baadhi wamekuwa wakipoteza Pete zao za ndoa...
Niliwahi kujiuliza kama iko siku na mimi nitapata nafasi ya kusimulia popote pale mkasa uliowahi kunikumba miaka ya nyuma. Ni kuhusu mke wangu niliyefunga naye ndoa ya serikali. Nilibaini kwamba...
Jamani wanajamii wenzangu,
Embu nisaidieni mawazo.
Mimi ni binti wa miaka 34 very attractive, nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri. Tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.