Hii namba inamsumbua mke wangu

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,249
2,873
Habari wakuu,

Siyo jambo la kawaida lakini imenibidi kuianika hii namba (Namba 0623600...) ila kwasababu huyo jamaa anamsumbua sana mke wangu (kwenye simu)

Ukiona tu chatting zake unagundua wazi kabisa ni mtu asiye na uelewa sana hata nilipompigia simu nikimsikiliza lafudhi yake anaonekana ni wa kawaida ila anasumbua sana.

Wataalamu mpo wezi mpo matapeli mpo namba hiyo kazi kwenu!
 
Samahani huyo jamaa anamsumbuaje mkeo? Alipata wapi namba ya mkeo? Unasema umempigia cm anaonekana mtu ambaye hana uelewa. Bro achana na mtu anaitwa mwanamke.

Kuna siku nilikuwa sehemu nikashuhudia mke wa mtu tena level ya juu anatoka kukazwa na muuza mchicha! Toka siku hiyo nikajisemea kama alishindwa Adamu nitaweza mimi au wewe. Mbane mkeo kwa maswali magumu. Ukishindwa futa namba ya mkeo usajili upya.

Mwisho ACHA TABIA YA KUPEKUA CM YA MKEO
 
Back
Top Bottom