Urafiki huu unawezekana?

Urafiki huu unawezekana?

Lillie Mie

Member
Joined
Jul 2, 2020
Posts
97
Reaction score
176
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu?

Maoni yenyu tafadhali...
 
We huna miaka 20
Kama n hvyo kweli, kaolewe tu
Maana n dhahiri unajua ujinga mwingi
 
Hiyo haipogo mtaishia kugegedana au kuna mmoja anaumia kimya kimya
 
Mvvlana na msichana✔️
Msichana na shoga (gei)✖️
Nalog off
 
Inawezekana ila kwa muda tu. Mwishowe lazima myajenge. Kile kitu kinachomvutia mtu kwa mwenzake mpaka kujenga urafiki ndo hicho kitawafanya muishie sita kwa sita.
 
Urafiki kati ya paka na panya Ni ngumu... Mwishowe panya ataliwa tuu
 
Happy ni sawa kuwa na shamba la miwa jirani na shule, lazma miwa iliwe tu
 
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu?

Maoni yenyu tafadhali...
Ukiona jinsia 2 tofauti zimekuwa pamoja kwa hicho kinachoitwa urafiki bila ya Kuwa na mahusiano ya Kimapenzi, Basi jua kuna mmoja kati yao kachukua tabia za mwenzake na ndo maana wanaishi kama marafiki
 
Back
Top Bottom