Ulishawahi kutengwa na marafiki?

Ili Uache Kutengwa Haraka Sana Waone Wajumbe Wa Kyela, Kawe, Kigamboni
😀😁😂😅😄😃😃
 
Kuna Jambo linatokea hapa naona Kama Marafiki wananitenga jmn nifanyeje. Make sjui kosa langu mpaka kutengwa na washikaji ila nihisi ni kwa sababu nakunywa pombe sana
Sasa mkuu unachelewa nini kuhamia kwa rafiki kubwa lao TBL.😏😏😏

Badilika huko na wewe...hata mimi nikiwa narafiki ambaye anafanya vitu ambayo haviko sawa na nimeshamkanya mara nyingi habadiliki...ni lazima nikufungie vioo tu
 
Back
Top Bottom