Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna siku shem/wifi lenu alikuja kulala kwangu, usiku tulikwichi kama kawaida. Asubuhi niliwai amka nikaamua kufua boxa zangu sasa nikaona so case ngoja nifue na chupi yake coz yeye alikuwa kalala...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
nakumbuka mara ya kwanza nilipokuomba ridhaa ya kuyaketi madhabahu ya moyo wako ajili ya mapendo, hakika ulisita ukunambia nikupe muda ufikirie zaidi... baada ya kufikiria ombi langu...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto Nmeitoa sehemu. Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anachokihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP...
21 Reactions
70 Replies
15K Views
Hivi wakuu hivi we na mpenzi au mke wako mnaweza piga busu hadharani(kiss In public)au ndo zile hayo mambo ya western people. Au mnaona aibu kwa dongo mtakalopata kwa watz walivyo
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari Ni kijana wa miaka 25 Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
Nilikuwaga sielewi kwanini hawa wanawake weusi aka blacks wanasifiwa sana?. Jaman hii type ni raha sana kudate nayo unakuwa huna stress kwanza hawana vizinga vya kizembe zembe, wanaridhika hata...
14 Reactions
219 Replies
23K Views
Kelvin Ferlin 15 hrs · NITABAKI NA MAMA YANGU Kijana mmoja Daktari alikwenda kuposa kwa familia moja yenye uwezo wa kifedha na Mali zao . Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Baada ya...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Nisiseme jambo lolote nje ya mada yangu acha niende moja kwa moja kwenye tukio lenyewe.. nitaeleza sifa baadhi za msichana mwenyewe na mahusiano yetu yalivyo. Huyu msichana ni jirani yangu wa...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Leo kidogo nizimie. Naombeni kuuliza eti ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 30 na kuendelea kumkiss mwanaume mwenzake? Nazungumzia zile kiss za left side, right side then mdomoni kidogo? Ni sawa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari za usiku huu wadau. Nina rafiki yangu tumeshibana sana, siri zaje zangu zangu zake. Sasa huyu mshikaji wangu ana demu wake wako kwenye mahusiano mwezi wa 8 sasa. Mwanzoni mapenzi yalianza...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Binadamu wanachangamoto nyingi katika maisha, mtu anaweza kupambana katika maisha yake mwanzo mwisho bila kupata ushirikiano kutoka kwa ndugu zake au ukoo anaotoka. Wanaweza kuwepo waliofanikiwa...
16 Reactions
48 Replies
5K Views
Tafiti zilizofanyika na wataalamu wa saikolojia ya mapenzi unaonesha kuwa karibu kila mtu lazima apitie heart break (maumivu kwenye mapenzi) kabla hajampata mwenza wake wa kuishi naye.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ila nazidi kuwa confused.Jamaa yangu nilikuwa napiga nae story leo kuhusu ndoa na wanawake gani sahihi kuoa. Sasa akaniambia kuwa yeye hawezi kuoa mwanamke wa mjini. Sasa nikajiuliza Kuwa na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanaume huwa mkitaka kuoa huwa mnazingatia nini kwa mwanamke Huwa Ni shepu au tabia au uzuri wa sura rangi ya ngozi Au utundu wake chumbani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mapenzi ni kitu kingine, huwezi kufananisha na kitu chochote kile; Kwa wale waliofanikiwa kupendwa ni vigumu kuamini kuwa, kuna wengine mapenzi yamewagharimu maisha yao yote au yamepoteza dira ya...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Naongelea sehemu ya falagha tu Mchepuko anajiandaa kwa show Mchepuko unajua mapenzi ni uchafu haoni ajabu kunyonya diki hauoni ajabu kuipaka mate diki ya mzee ipenye vizuri, haoni ajabu kutoa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata...
17 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwa sisi wanawake tulio wengi kama umeachwa au umemfumania umpendae tunahisi maumivu makali hadi kutamani kuzimia Mawazo, maumivu ya kichwa, mwili kuwa na joto na uchovu, hapa sitaki niongee...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Love is a beautiful thing. It is a feeling that prompt you to act without thinking because for you everything is fair in the game of love. True, it is important for to people in a relationship to...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana katika mizunguko yangu nilienda sehemu kupata chakula kidogo kukawa kuna wadada wanabishana kuhusu jambo moja. Kati ya mwanaume mvuta bangi na mnywa pombe yupi ana afadhali ikiwa wote...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom