Mwanaume kumkiss mwanaume mwenzake

Mwanaume kumkiss mwanaume mwenzake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Leo kidogo nizimie.

Naombeni kuuliza eti ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 30 na kuendelea kumkiss mwanaume mwenzake? Nazungumzia zile kiss za left side, right side then mdomoni kidogo? Ni sawa eti

Kwetu wanawake ni kawaida ila hawa wababa kweli kidogo nizimie hapa hata kama nimezaliwa bush sijaelewa hawa watu Hadi kichwa kimeuma.
 
Jaribu kuchunguza hapo jinsia zao,usijekuta kuna demu anajifananisha na mwanaume,kuna wanawake sasaivi wanavaa nguo za kiume huwezi amini kama wanawake,chunguza vizuri
 
Kwanza hata kuuliza swali kama hili umefanya kosa pia
 
Uarabuni mwanaume kwa mwanaume husalimiana kwa namna ulivyoeleza..
 
Kuna kamsemo kanasema unatufokea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom