zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Ila nazidi kuwa confused.Jamaa yangu nilikuwa napiga nae story leo kuhusu ndoa na wanawake gani sahihi kuoa.
Sasa akaniambia kuwa yeye hawezi kuoa mwanamke wa mjini.
Sasa nikajiuliza Kuwa na wanawake wa kijijini wakisema hawaolewi na wanaume wa mjini...mbona hakutakuwa na ndoa.
Tufikirieni bana tabia ya mwanamke haiusiani na mazingira na sio kwamba ukioa mwanamke from village ndio ndoa itadumu?
#Iam Zagarino