Mwanaume unaweza kufua nguo ya ndani ya mpenzi wako?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,039
Kuna siku shem/wifi lenu alikuja kulala kwangu, usiku tulikwichi kama kawaida. Asubuhi niliwai amka nikaamua kufua boxa zangu sasa nikaona so case ngoja nifue na chupi yake coz yeye alikuwa kalala hoi bado.

Niliwaza nafua boxa zangu afu niache bikini yake atajiskiaje? Na wakati nguo zangu na boxa zangu anafua? Ikabidi nichukue nikaifue.

Wakati wa kuanika kuna jirani yangu brother aliona akanicheka sana, ila mimi sikuona ajabu yoyote I did for love.

Ni ajabu kufua chupi?
 
Eti atajiskiaje, mwanamke ni kama mtoto anajaribu ili aone reaction yako usishangae siku kaziloweka zote halafu mfuaji wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom