Hivi huwa mkitaka kuoa mnazingatia nini kwa mwanamke

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Wanaume huwa mkitaka kuoa huwa mnazingatia nini kwa mwanamke
Huwa
Ni shepu au tabia au uzuri wa sura rangi ya ngozi
Au utundu wake chumbani
 
1:Awe na hofu ya Mungu,anaejielewa mwenye kutimiza majukumu yake kama mama,Sura inayonivutia na shape ila asiwe mnene,Mwenye heshima kwa watu na asie na majivuno.
 
Wanaume huwa mkitaka kuoa huwa mnazingatia nini kwa mwanamke
Huwa
Ni shepu au tabia au uzuri wa sura rangi ya ngozi
Au utundu wake chumbani
kigezo kikubwa awe na akili, yan anajitambua, asiwe malaya.........


hayo mengine sijui shape, uzuri, rangi huwa vinapotea ndani ya miezi kadhaa ya ndoa..........


tafuta mtu ambae anaweza kuwa rafiki yako, mtani wako, swahiba n.k,
 
Awe anatoa milango yote miwili,Ule wa Uwani na ule wenye zulia la manyoya
 
Back
Top Bottom