Unaweza mpiga busu mpenzi wako kwenye hadhara

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Hivi wakuu hivi we na mpenzi au mke wako mnaweza piga busu hadharani(kiss In public)au ndo zile hayo mambo ya western people.

Au mnaona aibu kwa dongo mtakalopata kwa watz walivyo
 
Inawezekana, ila mue mmekaa sehemu, sio barabarani kibongo bongo haita sound good.
 
Hadi kanaboa haka katoto,kila siku maada za kitoto tu nafikiri kuna haja sasa ya kuanzisha JF Jukwaa la watoto ili thread zote za huyu dogo zihamisiwe huko.
I'm sorry Big Ben Ila mi sio mtoto inawezekana kuniita hivyo Ila nina miaka 19 nahisi nimevuka umri wa miaka ya utoto kisheria kwa hiyo kuniita mtoto utakuwa against the law
 
Nahisi ugeni na utoto wa Facebook unachangia!

Ukitoka JF ukirudi unakutana na bandiko lake jipya

Lakini sio muda mrefu atabadirika hata Zero Iq na mwenzie Beira walikuwa hivi hivi
 
I'm sorry Big Ben Ila mi sio mtoto inawezekana kuniita hivyo Ila nina miaka 19 nahisi nimevuka umri wa miaka ya utoto kisheria kwa hiyo kuniita mtoto utakuwa against the law
Basi akili zako hazijapevuka, hariri threads zako kabla hujapost maana humu kuna watu wenye rika tofauti tofauti, hizi story za namna hii ulipaswa kupiga na wavulana wenzio mkiwa kidato cha pili hadi cha tano.
 
Elimu yangu ni ndogo Ila Akili yangu sio ndogo huwa naweka threads ili kupata ufafanuzi wenu ninyi Watu Wazima Dawa Ila waswahili wanasema if your the smartest person in the room your in the wrong room
Labda pengine wewe ndo uko In the wrong room au Mimi ndo niko wrong room
 
Nipo room sahihi JF iko wazi, ila tokea ujiunge maada zako nyingi ni za kimchele mchele hadi inafika mahali mtu akiona jina lako tu anakereka. Just be gentlemen!
 
I'm very confidential ntakeep your advice sometimes I have to good observer and not a speaker..
Sometimes I should be listening rather than speaking
Big 5
Hakuna haja ya ugomvi mkuu
Ila nimeishia form 3 nikaacha shule nipeleke taratibu
 
Hivi wakuu hivi we na mpenzi au mke wako mnaweza piga busu hadharani(kiss In public)au ndo zile hayo mambo ya western people.

Au mnaona aibu kwa dongo mtakalopata kwa watz walivyo
Hapana naweza kumkumbatia tu ,ila kama ni young couple yes nampiga kiss couze tupo pamoja tunaendana kwani shida ipo wapi kwani??
 
Kwani kuvaa miniskirts na vinguo vifupi ni utamaduni wa mwafrika
Unaweza kula busu for your own risk nahsi vimini vimezoeleka kidogo kuliko kula busu ila wazungu unatafuta public kwanza unalipiga ukiwa kati ndo linanoga ila kwa wabongo unaweza tolewa mkuku
 
Hivi wakuu hivi we na mpenzi au mke wako mnaweza piga busu hadharani(kiss In public)au ndo zile hayo mambo ya western people.

Au mnaona aibu kwa dongo mtakalopata kwa watz walivyo
Without any doubt! I can kiss her anywhere
 
Kama mpo kwenye ndoa hata mate unamchapa hata kati kati ya soko.. ila kiwe kisu sasa
 
Back
Top Bottom