Kula bata na mpenzi wako au familia yako kuna raha sana. Na haiitaji uwe na pesa nyingi, bali ni nia tu.
Unaweza kufanya angalau mara moja kila mwezi kutokana na nafasi pamoja na kipato chako...
Yani kumuoa mtoto wa kishua shida ye amelelewa kwenye raha hajui kuhusu shida.
Wengine hata kupika hawajui ndo utaona. Ndiyo utashangaa wafanyakazi home anaajiri kama saba wa kupika wa kufua wa...
Umekuwepo mtazamo kuwa watoto wa kike pindi wanapojitegemea au kupata mafanikio hukumbuka nyumbani na kukumbuka wazazi wao lakini eti watoto wa kiume wakishafanikiwa na kujitegemea huwa...
Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza...
Yaani katika kabila ambalo halijui kupetty wanawake ni wakurya yaani hata ndoa zao ni kibabe...
Nasikiaga eti mpaka wanawake wa kikurya wanapigana na waume zao ngoma droo..
Ila wenzetu wagogo na...
Ukisika Super Brand SPISHI ndo hizi nyingine za kubumbabumba na Maabara... ..
Huku ni LIFTI ....LIFT Valeeee
Bonde la Ufa Tanzania lina siri nyigi kubwa vipaji vilivyo jificha Bakuu Mutembee...
Huu ndio ukweli uliopo. Nafasi uliyonayo kwa sasa au nyanja yako ya kiuchumi uliyonayo ndiyo itakayokupatia mpenzi anayeendana na hali uliyonayo. Kama hali uliyonayo itabadilika huko mbeleni, pia...
Yaani hawa viumbe hata siwaelewi shida ipo wapi! Au ndio mnatumia ile nadharia ya kwamba ninyi ni dhaifu hivyo mnaamua kufanya upuuzi kadri mtavyoweza?
Yaani unakuta dada wa watu mnakutana...
Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona.
Nikaingia pale...
Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS...
Leo asubuhi katika pitapita zangu, nimekutana na watoto wadogo wakiwa wamebeba mizigo ya kuni kichwani, nikajikuta nimekumbuka tukio muhimu maishani mwangu ambalo nimeona tushirikiane tu...
Boy: I need someone to talk to.
Girl: I'm always here for you.
Boy: I know.
Girl: What's wrong?
Boy: I like her so much.
Girl: Talk to her.
Boy: I don't know. She won't ever like me.
Girl...
Wanawake sijajua kwanini sometime mnalazimisha mwanaume aanze kuchepuka.
Kadri siku zinavyoenda wife anapunguza mashamsham kabisa.Frequency ya games imepungua. Si mbaya ameongezeka uzito sana but...
Ni Dm kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 30, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
I love her but I don't know where to start from.
Niliwahi kukutana na msichana mmoja mdada wa chuo wakati wa likizo ya corona mwezi wa 4
She's well behaved na anaonekana ni super smart sasa...
Habari wana Jf
Ni muda sasa tokea nilipotoka kwenye kifungo cha pepo mchafu na muuaji wa maisha yaan ni silent killer namshukuru mungu
Mwaka jana niliposti Uzi KUOMBa msaada juu ya kujitoa kwa...
Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?!
Money Penny: kwanini?!
Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.