Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tukiwa njiani tunatoka kazini na masela wangu, wakaanza kumtania mmoja WA masela wanamwuliza mbona umepoa Sana? Katika kumdadisi dadisi akafunguka kuwa alimpata demu mkali kwenye msiba, lakini...
5 Reactions
127 Replies
19K Views
Wadau kuna mdada nimemuelewa sana alikuwa just a friend tu, urafiki wetu haukuwa mkubwa sana zaidi akiwa na changamoto hasa anataka ushauri mi ndo nilikuwa mshauri mkuu na ananikubali sana kwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi.. So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume.... Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani Oa ata watano...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nipo njiani naelekea nyumbani, wife kanitumia ujumbe ambao umenifanya nihisi furaha ambayo sijawahi ipata maishani... Ujumbe unasomeka hivi: "NIMEZAMA KWENYE BAHARI YA UPENDO NAWE NDO...
16 Reactions
79 Replies
8K Views
Mke wa Petro anajivunia mume wake ni mtulivu sana hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini tuu ndani. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wadau kumbe Sababu za mauaji ya tabata its pure Ufoo saro type of scandal, yaan Mama mzazi anakula dili na bintie kwa Asilimia 100%. "Uhusiano wa Christina na Munisi Rafiki wa Munisi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, Leo naomba nishee kisa changu kipindi nikiwa chuo,nilipoingia chuo mwaka wa kwanza nilienda kukaa hostel sasa maisha ya hostel sikuyafurahia,nilikaa semester moja pekee,wakati wa...
43 Reactions
102 Replies
13K Views
Ila kuna watu huwa wananikera kweli kabisa unakuta mtu anakuambia yani yeye hawezi kuoa mtanzania ni bora aoe Mnyarwanda au Mkenya.... Sasa ametudharau Tanzania kiasi gani kakosa Mtanzania wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchunguzi wangu nimebaini kati ya wanaume wanaoongoza kuwa na maumivu makali wanapochapiwa wake au wachumba zao ni wanaume wachepukaji. Sasa unaumiaje wakati wewe mwenyewe hujatulia, alafu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
"Nilijishusha sana kwa Uchebe, nilitumia nguvu zangu kum-brand, nilimheshimu sana bila kujali kipato chake. Nimemkuta ana folloers 3 Instagram, ndugu zangu hawakutaka kabisa niolewe nae. Pesa ya...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni? Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika. Bold but nothing! Mimi naosha vyombo bila shida yoyote. Long live mama f
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa. Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Guys nina mjadala kidogo tu nataka nieajue Wajumbe kama wajuba wa JF Hivi kati ya.: ●iPhone [emoji336]na ●Samsung[emoji336]ipi inafaa kabisa itumike na wanawake (female)
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Wajumbe bila shaka mko poa ! Leo tukumbushane kidogo boys boys siku yako ya kwanza kutongoza binti ile face to face ilikuwaje ? buda binafsi nakumbuka siku ya kwanza kufanya shambulio la kutongoza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
In a recent conversation with a friend of mine who suspects her boyfriend doesn't lover her anymore, I joked with her about giving him a love potion. What started out as an innocent joke on my...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimejaaliwa uzima namshukuru Mungu kwa hili, pia nataka kushea na viumbe wenzangu jambo kidogo Mungu humpa mtihani mja kulingana na imani yake kwa imani yangu. Mwaka 2017 mwezi wa 11 nilibaatika...
19 Reactions
41 Replies
6K Views
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili: Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom