Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanakera sana Mtu kaolewa ila havai pete unakutana naye uko unatongoza unajua umepata wakutulia naye au wamaisha kumbe mtuu wa mtu badaa ya week anakuambia mke wa mtu au mume anamtesa au mume...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti. 1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa...
2 Reactions
77 Replies
7K Views
Hivi kwa nini wanawake wazuri asilimia kubwa huwa hawanaga akili hasa akili za kimaisha. Unakuta kabinti ni mashalah kameumbika kila sector lakini kichwani ni empty . Huwa wanatuweka kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF. Najua ni ngumu kukubaliana na maneno yangu lla ndivyo ilivyo. Kuna muda unakuwa na hisia za kimapenzi kwa rafikiyo mpaka unatamani bora msingekuwa marafiki? Kuna wakati penzi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilinichukua muda sana kujiunga JF kabla ya hapo nlikuwa ndugu msomaji.kuna watu walinivutia sana humu ndani kama General Galadudu (mungu amweke mahali pema huko aliko) na GuDume kwa mbegu. Nina...
4 Reactions
113 Replies
12K Views
Mapenzi/Mahusiano ni kama chuo/darasa, unapata mengi ya kujifunza toka kwa mwenzako uliyenaye kwenye huo uhusiano. Mnaweza achana kwa makubaliano mazuri au kwa vurugu na dharau pamoja na kejeli...
12 Reactions
24 Replies
18K Views
Habari za jioni? Mpaka nafika hapa wadau mjue nimekwama. Naombeni ushauri juu ya haya mahusiano. Kiukweli nilikuwa nashangaa nikisikia kuwa mpaka watu wanafikia kufunga ndoa, wamepitia mambo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ukiingia insta unakutana kibao, Snapchat wapo, kwenye Dating Apps huko ndo balaa, JF mama na FB ndo usiseme Nimegundua hata wale maslay queen "wabinua viuno" ni memba wazuri wa kundi hili. Hii...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wakuu, kuna dada nipo naye kwenye group moja la whatsapp la mambo ya dini nimekuwa nikichart nae sana mpaka usiku wa manane nilimuomba awe rafiki yangu akakubali bt lengo langu...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Nimeikuta hii kwenye The Hill of Wealth. Nimeipenda and would like to share with you ! anasema; Uwezo wa kumwamini (trust) na kujisikia salama na kutulia kati ya wanandoa ni moja ya misingi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke...
3 Reactions
73 Replies
10K Views
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha. Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate...
4 Reactions
115 Replies
10K Views
Naomba niwape angalizo kidogo baada ya kuona thread mbili tatu za kuhusu maambukizi ya ukimwi na waathirika kwa ujumla. Nimeona baadhi wakitoa kauli za unyanyapaa ambazo kimsingi hazitujengi zaidi...
2 Reactions
3 Replies
584 Views
Nakumbuka kipindi nasoma O-Level nilipataga rafiki (ke) mwenzangu kwao walikuwa maisha mazuri kidogo kipindi icho Baba ake anafanya kazi nje ya nchi kwa iyo akawa anaishi huko na mama ake rafki...
18 Reactions
79 Replies
11K Views
Ilikuwa ni mwaka2017 nilipomkuta huyu mtoto katika stationary moja pale dar nikihitaji mahitaji fulani. Mtoto nikamwelewa sana but akadai ana mtu wake licha ya kumfukuzia sana basi nikaona isiwe...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za siku ya leo. Leo nataka niwaambie jambo moja wanaume wenzangu. Hata hivyo mada ni huru na yeyote anaruhusiwa kuchangia. "ukiona mwanamke amekukubali ujue yeye mwenyewe tu amekutamani...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni kijana na ninajifunza kila siku na moja kati ya jambo nililojifunza ni kwamba hisia ya majuto ni mbaya sana kuliko hata wivu ama hasira maana majuto huwezi...
9 Reactions
27 Replies
6K Views
Nimeamua kuja na id mpya ili kulinda heshima yangu, Nianzie hapa miaka miwili iliyopita nilipata mpenzi binti fulani asiye na makuu mwenye aibu na staha zake, Mwanaume nikajiweka jumla maana...
5 Reactions
74 Replies
14K Views
Back
Top Bottom