Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi nimeoa ingawa sio official (hatujafunga ndoa rasmi ila nimeshamlipia na tunaishi pamoja) Kwa bahati mbaya mke wangu ni aina ile ya wanawake wanaoongea na kupanda juu sana kipindi cha...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari. Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa muda sasa kuhusu aina mbili za mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo au wale wenye uwezo wa kipesa uliosimama wasio na maisha ya kuunga unga na...
27 Reactions
189 Replies
16K Views
Habari vipenzi Nina swali linanitatiza mno, nikaona ni vyema nililete huku hakika nitapata majibu! Inapata miezi kama saba sasa tangu niachane na mpenzi wangu niliyemzoeaga sana niliyekuwa naye...
6 Reactions
100 Replies
7K Views
Ila wabongo mjifunzeni kuwa romantic kwenye mahusiano/ndoa. Penzi linanoga ukiwa romantic bana. Yaani sijajua sijui ni desturi au ni ushamba yaani unakuta mwanaume unarudi home unamkuta wife...
16 Reactions
172 Replies
11K Views
Wazazi wenzangu natumai mko vyema na maisha yanaendelea kama kawaida Mada hii natumai itakufungua macho kwa kubaini tabia za mwanao pindi utembeapo nae pamoja barabarani 1. Mtoto anapopendelea...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Polein sana na majukumu kuna swala linanisumbua sana kuna mwanamama mmoja hapa ninapofanyia kazi kwa kweli amebarikwa sana mrefu ana kiuno kizuri kimeingia ndan hipsi imechomoka...
3 Reactions
43 Replies
50K Views
Wakuu habari ya wakati huu, Naomba wazazi mnisaidie kujua ni zawadi gani nzuri anastahili mtoto wa kike ambae amefanya vizuri mitihani yake ya darasa la saba ili kumtia moyo aendelee kufanya...
4 Reactions
41 Replies
20K Views
Wakuu naona nikimbilie huku tusaidiane kabla sijapigwa hela. Mwanamke nilikutana kwenye mtandao yuko Miami USA Nimejaribu kumpima nimtumie hela anunue eti hataki hela Mimi nimnunulie through mtandao
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za jioni Wana wa Adam na Eva, Bana kuna jambo nimemsikia mtu hapa jirani yangu ikabidi nikumbuke kitu. Hapo nyuma nilikuwa na mpenda binti flani Sanaa,Ila ikatokea akahama mkoa nilio kuwa...
0 Reactions
8 Replies
894 Views
Naomba kuwakumbusha muweze kutofautisha elimu za darasani na elimu ya maisha! Ni vitu viwili tofauti! Hamuolewi kwasababu ya degree zenu mlizonazo. Elimu mlizozipata shuleni sio sifa au kigezo...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Sisemi mengi,nimeamini ya waganga. Nimeletewa kituko nyumbani.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadada sikilizeni. Kile kitendo cha kumkatalia Mwanaume kufanya tendo la ndoa wakati ndo kwanza mmeanza kufahamiana aisee mnafanyaga jambo jema Sana, tena nasema mnafanyaga maamuzi sahihi kabisa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Je, mtoto anaweza kulelewa kwa mafanikio ikiwa sheria za malezi za wazazi/walezi wake zitakuwa tofautitofauti? Yaani Baba ana kanuni na taratibu hii, Mama ana kanuni na taratibu hii. Yapi maoni yako?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Awe anaishi dar umri kati ya 22 mpk 30, tuwe pmoja kupeana ushauri wa maisha na kubadilishana mawazo kua pmoja hadi mke na mume alie serious anitafute Mim ni mrefu, kidgo mpana wa wastan ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho...
10 Reactions
60 Replies
8K Views
Nadhani watu wengi waliwahi kupitia situation hii pale unapokuwa na mpenzi mliependana naye lakini kuna hatua inafikia mapenzi yanachuja hivyo mapenzi yanapungua sana Hebu tuambiane ni hatua gani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakubwa shkamoni wengine habari zenu. Stori ipo hivi: Miaka 9 iliyo pita nilikuwa na mchumba'tulijuana yy akiwa mwaka wa pili chuo Fulani akisomea kazi Fulani,alihitimu na kupangiwa mikoa ya...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Tabia na maisha ya watu yanatofautiana kutokanana na mazingira waliyopo wahusika ila kwa wenzetu wao wana upendo wa dhati nadhani. Juzi nimetazama habari, katika ndege moja huko ughaibuni...
1 Reactions
5 Replies
800 Views
KINDS OF SEX IN MARRIAGE!!! 🔊 RECONCILIATION SEX:- Sex is a most potent weapon for diluting and difusing misunderstanding in Marriage. If you don't use SEX to settle some stubborn crisis, then...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom