Vile nilivyompotezea huyu mtoto kimasihara

Vile nilivyompotezea huyu mtoto kimasihara

nyalujama

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2020
Posts
221
Reaction score
349
Ilikuwa ni mwaka2017 nilipomkuta huyu mtoto katika stationary moja pale dar nikihitaji mahitaji fulani. Mtoto nikamwelewa sana but akadai ana mtu wake licha ya kumfukuzia sana basi nikaona isiwe vibaya ikabidi niwe tu friend ili mradi niwe nakula hata kwa macho..

Basi tukazoeana hata akawa anipa story ohh sijui anao guys zaidi ya mmoja na yule atakayekuwa serious ndie atakayemuoa
Hapo moyoni naumia balaa yaani kumbe kuna njemba zaidi ya moja zinanyemelea.

Inshort Mimi Ni wale watu wapole na wakimya ndio maana hata huyu mdada hakuona impact ya Yale aliyokuwa ananiambia coz Mimi huwa mtu akiniona mjinga huwa namuacha ahamini kuwa Mimi Ni mjinga...

Kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo kimoja hapo dar but kiukweli sikuwa na maisha ambayo yangemshawishi coz hao jamaa aliokuwa ananisimulia mmoja mtoto wa kishua mwengine mfanya biashara mie na sikufua dafu but nikajipa moyo kuwa mvumilivu huma mbivu ...

Mwaka 2019 nikala shavu shirika moja kubwa mkoani na binti akajua. Mzee nikaona Sasa hebu ngoja nione nilikuwa nakwama wapi. [emoji3].. nikatupia nanga kwa yule yule Cha ajabu mtoto akajaa

Tumeenda enda mtoto akaanza kuamini mie nitamuoa but kiukweli mm sikuwa namaanisha nikajua tu na Mimi Niko kwenye ile ORODHA ya wale jamaa nikaamua kupiga chini ... Mtoto amaumia balaa

Inshort Mimi nilitaka tu aumie kama Mimi kipindi namuangaikia hakuonesha kujali hisia zangu leo hii maisha yameninyokea ndio anaonyesha interest

Ushauri: Wadada msiwashobokee sana watoto wa kishua hata sie wapambanaji tunaweza kuwapa maisha mnayo yatamani Ila tatizo Ni muda tu.

Nb: mm Ni mtu fulani hivi ambaye ukinifanyia Jambo ambalo si sahihi huwa lazima nikulipe hata kama tunacheka pamoja huwa si mwepesi wa kuachia Mambo na sifanyi hivyo kwa ubaya Ila huwa nataka ujue tu kuwa dunia inazunguka
 
Malizia story ikawaje baada ya kukupa K?
Umembwaga au bado unamla kwa kulipa kisasi?
 
Kama umempiga chini Kwa maamuzi yako
Why unaanzisha thread ya kujutia?
Unatudanganya Sisi au unajidanganya mwenyewe?
 
Ukifilisika utat✍️mba mbaka mbuzi.
Unaacha mwanamke kisa kazi.
 
Ukifilisika utat[emoji3578]mba mbaka mbuzi.
Unaacha mwanamke kisa kazi.
Sijamuacha kisa kazi Ila yeye mwenyewe ndio alihalibu Bora angenizungusha tu Ila sio kuanza kunipa story za vibwana vyake
Akiamini nitaumia[emoji23][emoji23]
 
Kisasi si juu yako.

Wala hakitakusaidia Chochote.

Acha kisasi na uwe mwepesi wa kuchukulia vitu poa.
 
Back
Top Bottom