Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,106
Nakumbuka kipindi nasoma O-Level nilipataga rafiki (ke) mwenzangu kwao walikuwa maisha mazuri kidogo kipindi icho Baba ake anafanya kazi nje ya nchi kwa iyo akawa anaishi huko na mama ake rafki yangu wa kambo sababu mama mzazi alishafariki so likizo kubwa zote alikuwa anaenda aliko baba ake
Kuna siku tukajikuta tunapiga story kuhusu familia zetu sikuamini alivyonambia alibakwa na baba ake mzazi alipoenda kumtembelea likizo ya mwisho tena kwa kumshikia bastola kabisa niliogopa sana
Kwanza sikuamini kama yule mzee tena msomi anaeza kufanya unyama huo kwa binti yake na pia nikajiuliza rafiki yangu amepata wap ujasiri wa kunisimulia kitu cha aibu kama kile ila alinambia kinavyomtesa na ambavyo alitaman kupata mtu wa kumuelezea angalau apunguze machungu dah alilia ile siku mpaka nami machozi yakanitoka