Wanawake na Kununa/Kususa

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Wana JF, hebu nisaidieni. Kwa nini wanawake wengi huwa tunakawaida ya kuwanunia/kuwasusia wanaume/marafiki zetu? au ndio dalili ya mapenzi? Hii hata kwenye cinema utaiona sana, mwanamke anajifanya kununa/kususa na kuja na mkiwara mingi kama anataka kitu kwa mwanaume! Akikipata, basi utaona anacheka, anaona raha kubembelezwa kama mtoto!

Mbaya zaidi kwenye ndoa, hasa wa wale wenzangu wasiopenda kuambiwa ukweli, wale wanaojiona kuwa kila wakati wako sawa, basi wakirekebishwa/au kushauriwa na waume zao utawakuta wamevuta midomo hao! Kisa mwanaume hamsikilizi na kwa wanawake wengine, ni kama vile hawapendwi! mmh jamani hapo huwa nakwama, kwani mwanaume kukupenda ni yeye kukubakli kila unalosema wewe na akiwa tofauti basi umenuna? Mmh .....
 
Okada naona hapa ndo pale ile post ya kutingisha vibiriti inaaingia kabisa....lol

Mara nyingi inakua tu kutaka attention ya huyo mwanaume, bahati mbaya sana
ni kua guys wanaweza vumilia siku za kwanza akakubembeleza kama ulivyo taka
then siku zikizidi kwenda hatimae anachoka and does not give a damn umenuna/susa...

Kununa kila saa na kususa yaani mara kwa mara ni moja ya qualities ambayo
humfanya mwanamke apunguze mvuto na mapenzi kwa mwenza wake ila bahati
mbaya saana wadada wengi tufanyao hivyo hatuelewi ilo suala...
 
Bora umetusaidia okada,
kiukweli inakera sana,
Ni juzi tu nilikuwa nimenuniwa karibu siku 4 lol....!!!!!!!!!!!!!
BTW: Wewe huwa hususi/hununi?
 
well said mama,
na mbaya zaidi sio kwamba mnasusa kuongea tu,
mnuno unaendelea mpaka kwenye 6 by 6!lol... inahu.................
 
pole sana
usijali sana sometimes tunataka attention kutoka kwenu ila isiwe too much minuno
 
Na nyie wanaume huwa mnafanyeje sie kununa kawaida yetu.

kama alivyosema Asha D hapo juu,
ukinuna basi siku ya 1 na ya 2 naweza bembeleza,
lakini kama mnuno utaendelea napotezea kiaina!!!!!!!!!!!!
 
well said mama,
na mbaya zaidi sio kwamba mnasusa kuongea tu,
mnuno unaendelea mpaka kwenye 6 by 6!lol... inahu.................

Bacha kunapokua na ugomvi ndani ya nyumba alafu usiku mka do' yaaani hapo moja kwa moja ugomvi umeisha...lol.. ndo maana inashauriwa wanandoa nunueni vitanda 6x6 kwa ajili ya watoto alafu nyie mnachukua 3x6 ili hata kama siku hio mmegombana once in bed mkigusana to mna do the needful...
 
wewe utamwingiliaje aliyenunu kama sio kubaka huko?

Tatizo lenu ndo hilo,
yaani unaona ukininyima hiyo starehe ndo umeniweza kweli,
Sasa ngoja nikwambie Merytina,
huwa kuna raha yake unapo do na mwenzio kakupa kinuno,
Wanaume wenzangu wanaweza sema hapa!!!!!!!!!!!
 
Nani alikwambia attention inaletwa kupitia kwenye mnuno?
we learn thru da experience
after being inferiors for longtime we developed our own mechanisms to backfires your ukuu in family.If hili haliwatatizi mbona munaligwaya?
 
Bacha kunapokua na ugomvi ndani ya nyumba alafu usiku mka do' yaaani hapo moja kwa moja ugomvi umeisha...lol.. ndo maana inashauriwa wanandoa nunueni vitanda 6x6 kwa ajili ya watoto alafu nyie mnachukua 3x6 ili hata kama siku hio mmegombana once in bed mkigusana to mna do the needful...

Lakini Asha D,
tatizo sasa la minuno hii,
kunakuwa na kutokuwajibika kwenye ku do!
ndo yale yale , unasikia tu unaambiwa, bwana eeee wewe endelea,
ukimaliza niambie.....lol......!!!!!!!!
 
Tatizo lenu ndo hilo,
yaani unaona ukininyima hiyo starehe ndo umeniweza kweli,
Sasa ngoja nikwambie Merytina,
huwa kuna raha yake unapo do na mwenzio kakupa kinuno,
Wanaume wenzangu wanaweza sema hapa!!!!!!!!!!!
aah wapi !!!!!!!!!!!!!mwishowe utasema kuna raha kubaka
 
we learn thru da experience
after being inferiors for longtime we developed our own mechanisms to backfires your ukuu in family.If hili haliwatatizi mbona munaligwaya?

basi kwa strategi hii mmechemsha,
hakika nawambieni mtawapata hao hao wachache,
lakini kwa sisi wengine, thubutu................
Najiondokea tu kwenda kupiga valuuu yangu,
nakuacha na minuno yako!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom