Nini nifanye, nipo njia panda

Blessed mkuu ,
Hujamaliza la kupangiwa field Masasi umeibuka na la mrembo wa Tabora! Utamaliza chuo kweli dogo na hata ukimaliza utaiva kweli kuwa mwalimu bora mdogo wangu.

Hebu nenda field kwanza
 
Mwambie aje...akikaa njaa nd utamjua vizuri akili zake...!!

Hlf acha ujinga.....SUP zote hizo bado unawazia kumlisha kwa pesa ya boom
 
We Ernest Achana na mapenzi piga kitabu,,kuna Suprementary,Carry na Discontinue/Disqualify
 
Hujamaliza la kupangiwa field Masasi umeibuka na la mrembo wa Tabora! Utamaliza chuo kweli dogo na hata ukimaliza utaiva kweli kuwa mwalimu bora mdogo wangu.

Hebu nenda field kwanza
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom