Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

Mngurimi

JF-Expert Member
May 27, 2020
819
789
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.

Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".

Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".

Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.

Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.

SIFA ZANGU:

Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM


SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:

1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende


NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.

Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.

Naomba kuwasilisha.
 
Safi Sana kwa mwanaume umefika wakati na sisi tunaweka vigezo vya MTU tunae mtaka
Tumezoea kusikia wanawake wakoweka vigezo kwa mwanaume wanao wataka.na mwanaume pia tunazingatia vigezo

Unakuja mwanamke anakuuliza eti una gari,kazi,nyumba huku yeye hana hata kimojawapo.mkuu utapata naamini kwa vigezo hvyo hapa JF wapo wengi naamin PM yako itafurika maana so kwa Uzi huu
 
No money no love
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Si amekaa siti ya mbele so lead is first
Safi Sana kwa mwanaume umefika wakati na sisi tunaweka vigezo vya MTU tunae mtaka
Tumezoea kusikia wanawake wakoweka vigezo kwa mwanaume wanao wataka.na mwanaume pia tunazingatia vigezo

Unakuja mwanamke anakuuliza eti una gari,kazi,nyumba huku yeye hana hata kimojawapo.mkuu utapata naamini kwa vigezo hvyo hapa JF wapo wengi naamin PM yako itafurika maana so kwa Uzi huu
Nenda PM sasa


We jamaa huu uzi umeusimamia kucha kinyama!

Fanya kazi,acha kutaka kugawana pesa za wanawake
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom