Ok,kesho nikiingia shift ntakujuza maana yupo mwenye jina hilo na sifa ulizotaja yaweza kuwa ni yeyenakumbuka mawili tu mkuu
Mtoto wagolden kumbe na wewe ni kijana wa siroOk,kesho nikiingia shift ntakujuza maana yupo mwenye jina hilo na sifa ulizotaja yaweza kuwa ni yeye
Kama kuna mchongo wa hela hata mimi naweza kushika nafasi yake tu..nicheki
Shame upon you!Kwa hiyo ni wadepo yako hapo CCP hujui post alipangiwa wapi wee polis mbona unaidhalilisaha taaluma yako ya upolis au umeleta huu ujumbe tujue wewe ni polis?
Kuna sare ilipigwa marufuku kabisa ktk shule ileUnamanisha nini
Habari za Leo,samahani kwa kuchelewa kukupa jibu hii ni kutokana na majukumu ndugu. Nilifanikiwa kumuuliza vyema kutokana na yale uliyoorodhesha hapo.ntashukuru mkuu..kama amemaliza mawenzi secondary 2005 na headmaster alikua mama mkiramweni(marehemu) basi atakua ndio mwenyewe.
Naam mkuuMtoto wagolden kumbe na wewe ni kijana wa siro
Dah kwaiyo ww kuanika jina la mwenzio umeona poa tu Ila jina lako hutaki kutoa mpaka ufatwe pmKwanza kabisa nichukue fursa hii kukushukuru mkuu kwa kujitolea kunisaidia katika hili, kwakweli kama hajasoma shule ya sekondari mawenzi mjini moshi, basi sio yeye, au labda kama pengine yawezekama amesema hivyo kwa kuhofia labda anatafutwa kwa lengo baya, hivyo unaweza kuja chemba kidogo nikakutajia jina langu halisi ili utakapomwambia ajue ni mimi rafiki yake wa karibu sana tuliyepotezana.
Nataka jina lakoKwahio unatakaje
Kwan ni mkojo huo Hadi nkusubirie?sawa nitakutumia endelea kusubiri.
Kumbe huy mama Amefariki apumzike Kwa Amanintashukuru mkuu..kama amemaliza mawenzi secondary 2005 na headmaster alikua mama mkiramweni(marehemu) basi atakua ndio mwenyewe.
Sawa ngoja nitegeshe mkonga uje uukojolee ukipenda unaweza kuunyea kabisandio ni mkojo.