Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,956
51,573
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.

1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye kidume haswa. Ile dhana ya territorial prestige ambayo ni kiu ya kila mwanaume, naisikia kwelikweli.

Lakini huyu dada ni mlegevu Sana (amelelewa kimayai, a.k.a mboga saba) hana anachojua zaidi ya selfie na kuingia social media. Mara 2 nilimpa mtaji wa kuanzisha biashara akakata tamaa na kuacha. Anataka apewe mpk vocha. Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.

2. Wa pili ni mdada mwenye sifa za utafutaji na ucha Mungu. Ananipa ushauri na mipango ya kutafuta hela. Nikiitekeleza inafanikiwa. Hana tabia za kuomba omba hela ya kusuka, vocha n.k. Lugha yake, ongea yake ni mtulivu na mnyenyekevu. Na zaidi ya hapo ana moyo wa subira sana

Lakini kwenye mambo yetu yale ya kitandani hovyo kabisa. Hata nafsi yangu inafika mahali inaingiwa na "kanaa" (yaani ananikinai au ananichefua). Bila kasoro hii ningekuwa nisha tangaza ndoa.

Kati ya wadada wenye sifa tajwa hapo juu ni yupi anafaa kuwa mke? Maana umri umesonga sana nataka nioe. Na wahenga wanasema hakuna mwanadamu mkamilifu.
 
Kikubwa wewe mwenyewe inabidi ujijue , ujitambue unataka nini mkuu. Jiulize unataka nini??!! , Kama hujijui unataka nini au unapenda nini hao wote hawakufai
 
Kikubwa wewe mwenyewe inabidi ujijue , ujitambue unataka nini mkuu. Jiulize unataka nini??!! , Kama hujijui unataka nini au unapenda nini hao wote hawakufai
Nataka maisha yenye furaha. Niwe na ndoa inayonipa raha. Mkuu funguka Sasa.
 
Oa mwenye tako
Kwasabb ya uzuri na ulegevu wake ikitokea nimetetereka ktk mipango yangu ya kiuchumi naogopa nitamegewa
Oa huyo namba mbili wa mipango ya maendeleo na mcha Mungu. Chura utakipata kwa michepuko.
Ok. Ila mmh! Naweza nikawa napandwa na hasira kwa kukosa faraja kwenye 6×6.Mkuu unatakaje kwani?

Manake options mbili zote ulizoweka huzitaki....basi oa namba tatu ambaye hatumjui
 
Why? Funguka mkuu nikusome vizuri.
Sex ndio moyo wa ndoa. Huyo asiyekuridhisha, utaishia kuchepuka. Akigundua hakuna amani ndani. Huyo mtamu lkn tegemezi ukikwama kipato familia imekwama mazima, na huo utamu atapeleka kwa mwanaume mwingine.
Jiongeze.
 
Back
Top Bottom