Wametengeneza matoy ila wameambulia patupu. Wamegongana wao kwa wao lakini wapi. Wamebadilisha matundu lakini hakuna ladha walioidhania.
Wamebadili wanawake wa nchi na mikoa tofauti lakini kitu...
Habari wandugu. Mimi ni mkazi wa Dar maeneo ya Kigamboni. Natafuta mdada umri wowote wa kuishi naye kusaidiana kimaisha. Hatahusika suala la kodi. Naishi chumba kimoja.
Masuala ya kula ni juu...
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti...
Ni kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.
Truth be said, for it shall set you free na pia...
Kitu gani kinawavutia zaidi wanawake kuwa na mwanaume ?
1.Pesa
2.Muonekano
3.Kujaliwa/kuthaminiwa/u-gentleman
4.Ufundi katika tendo
5.Ujasiri
6.Akili
7.Ucheshi
Kumezuka tatizo kubwa la wanawake wa kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii.
Pamoja na kwamba wanawake wamepewa ubongo lakini ni wachache sana wenye uwezo wa kuutumia. Wengi wao kuanzia...
Mimi ni kijana mtaftaji, na mungu kanijalia kupata kiwanja hapa mjini nmenunua kati ya 10-15M, nina usafiri, ila tatizo wazaI wanata nioe na bado niko under 23, nawaza sana ukiangalia wapenzi...
Katika kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuona ngono Kama ndio kipimo cha mapenzi ya dhati, imefikia kipindi mwanaume unakutana nae leo alafu kesho...
Habarini
WanaJamiiForums leo naona tuchambue na tuzungumze kwa pamoja kati ya mke wa ndoa na hawara ama kimada nani anaenjoy maisha...kuna watu hawataki kuolewa na wengine kila siku wanatamani...
Kiukweli niwe wazi, mimi ninafuga jini qmbalo nalitumia kunipatia mali na kupata ninachotaka, lakini sasa cha ajabu linakua linataka kuplay role ya jini mahaba kwa kila msichana nitakaekua nae...
Miezi miwili iliyopita kipindi tunasherekea birthday yake akitimiza miaka kwa kuwa umri umeenda aliniambia mwaka huu Lukasi anahitaji mtoto na kuhusu swala la maisha baada ya kujifungua nimwachie...
Huu ni ukweli mchungu ambao wachache wetu huwa hatutaki kuukubali na kujipa matumaini hewa.
Kuwa mbali na mwenza wako ni changamoto kubwa sana katika mahusiano. Ulinzi ambao ungeweza angalau...
Habari wanaJF
One way kwenye swali, yaani kidume unajikuta unaanzisha mazoea fulani na mwanamke kwa dhumuni la kumlia time ili umuapproach lakini katika harakati za mazoea hayo aisee manzi...
Wakuu, salaam!
Ni muda kidogo sijaweka andiko hapa, lakini Mimi Ni msomaji mzuri wa hapa jukwaani!
Nilikuwa na mpenzi wangu kipindi Cha nyuma nikiwa nikiwa na miaka 21-24, Ni msichana tulietoka...
Hivi jamani mi sijaona tatizo la limbwata, kwa sababu inavyosemekana unaekewa ili umpende mkeo sasa hapo shida nini sindio inavyopaswa umpende mkeo, mi sioni tatizo kama ambavyo inavyozungumziwa...
Mery Christmas to everyone,
Mapenzi yana run dunia sio neno geni miongoni mwetu neno ambalo linatumika mara nyingi kuonyesha nguvu ya mapenzi katika maisha yetu ya kila siku.
Baada ya kusikiliza...
Wakuu,askwambie mtu,...hiz za kuibia ibia,ni balaaa
Show imepigwa had chumba cha jiran lodge wakat tunatoka ikabid nae atoke azuge mlangon kuchungulia,...hahaha
Vinakuaga vya kukamia,sana sana...
Nina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana). Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka...
Majambazi waliingia nyumbani Kwa Jamaa,, wakauliza pesa na mikufu ya dhahabu ipo wapi?
Jamaa akawaonyesha sehemu zilipo.
Baada ya kukusanya kila kitu mle Ndani kile wanachoweza kubeba, Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.