Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo chuo mwaka wa pili semister ya mwisho mwezi wa 1 finally tarehe ishirin naa hiiv nikifanya vizuri utabaki mwaka mmoja tu yani semister 2. Jamani sijui nitakuwa na shetani gani mwili umekuwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
SALAM WAKUBWA. HERI YA SIKUKUU TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UPENDO NA KWA WASIO NA UWEZO TUJUMUIKE PAMOJA SOTE BINADAM BWANA. Mimi ni kijana wa miaka 23 sijaoa bado na nipo kwenye ratiba za kuoa...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Yaan wanaume bwana mnakutana leo anawaza akunanii vipi au kila akiona mwanamke anayepita mawazo yake ni jinsi ya kulala naye badala ya kuwaza labda jinsi ya kukuajiri au Badala ya kuwaza jinsi ya...
7 Reactions
125 Replies
17K Views
Kuna sehemu nahisi kama nime nasa kabisa, naona kama siwezi kuchomoka. Na mwanadada ananishawishi tuanze taratibu za ndoa. Ila sasa toka limeanza hili makoroni yangu yanakuja kwa speed ya light...
12 Reactions
85 Replies
5K Views
Habari za jioni, Natumai hamjambo, mko poa na mnaendeleza gurudumu la maendeleo. Tangu mwezi wa 11 mwaka huu 2020 kumekuwa na wimbi la wadada/ wamama kuvunja vikoba vyao kwa maana ya vikundi vya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass. Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake. Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu...
17 Reactions
134 Replies
16K Views
Naandika haya kwa hisia za maumivu makali sana ila ukweli ni kwamba "Ukiwa na mpenzi wa mbali alafu ukajiaminisha kuwa hakusaliti huko aliko basi utakuwa unajipa moyo tu ila uhalisia siyo huo "...
11 Reactions
119 Replies
11K Views
Ukaribu unaua hisia kweli kabisa. Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda. Ila baada ya wewe...
3 Reactions
129 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza, kuna kisa kimoja ngoja nikilete kwenu. Mimi Ni kijana mwenye 20- 30 yrs. Ni gentlemen flani mwenye u hb ndani yake. Nimekua nikishobokewa Sana na...
6 Reactions
109 Replies
13K Views
Season itakayofuata baada ya hii ya hizi sikukuu mbili Christmas na mwaka mpya ni Ada a.k. a Njanuari[emoji23] mwezi wa kuheshimu sana huo[emoji114][emoji125].
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Kuna binti mmoja alikuwaga ni mteja wetu katika taasisi yetu pendwa ya huduma za afya. Sasa akawa na tabia ya kuja mara kwa mara kwakuwa mwanawe alikuwa na tatizo fulani la alergy iliyokuwa...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
Mwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda. Nina ndugu...
31 Reactions
125 Replies
14K Views
Wajumbe tupeane uzoefu. Enzi hizo niko sec kabla sijafail fORM 2, ilikuwa namfukuzia shemeji yenu ambaye niko nae hadi leo. By the time mzee alikuwa anamiliki guest. Bwana bwana bwana, siku hiyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kuwaonea sana! Yani mabint waliokeketwa wanapitia changamoto kibao ktk maisha yao ya mapenzi; 1, Hawafeel sex kwa 100% 2, Wakisex wanaumia 3, Hawako huru kitandani wanajifichajificha mara zima...
19 Reactions
241 Replies
21K Views
Kuna wanaume wameoa wanawake walio nao sasa sababu hawakuwa na uwezo wa kuwapata wale waliowataka.hawakuwa na mkwanja.wakaona ili wasicheze Pool miaka yote basi waoe angalau hata wa kupunguzia...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
namshukuru mungu kujiunga jukwaa hili napenda na mimi niweke kero yangu moja kuhusu wanaume wa dar ukienda out na mwanamme wa dar utaulizwa tu unakunywa nini.. tena atakushawishi unywe vinywaji...
9 Reactions
160 Replies
12K Views
Alishaapa kamwe hatanisaliti,lakini Kila nikifanya uchunguzi naona hamaanishi anachokisema. Mwezi huu anaenda kwao kusherehekea krismasi na mwaka mpya, leo hii katika stori za hapa na pale...
26 Reactions
185 Replies
16K Views
Jamani, Mimi na hoja hapa. Haya makanisa mimi nashindwa kuelewa? au kwa sababu labda sipo rohoni sana sijawai kusikia ila hili nimelisikia leo, mchumba wangu kaenda kanisani mtumishi akamuombea...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom