Hivi ni kweli sex ndo kipimo cha upendo wa dhati?

Makeya Mranzi

Member
Aug 15, 2020
93
122
Katika kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuona ngono Kama ndio kipimo cha mapenzi ya dhati, imefikia kipindi mwanaume unakutana nae leo alafu kesho anakuambia msex .

Bila kufikiria Kama uyu mtu ni mzima, Jambo Hili linapelekea kuumiza baadhi ya wasichana wengi wasasa na baadhi yao kujikuta hawadumu kwenye mahusiano. Hivyo naombeni kujibiwa" hivi ngono ndio kipimo cha upendo wa dhati"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom