Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za majukumu wana JF Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya, jamani mimi ninakaribia kuolewa, ila kutokana na hali ya maisha tumekubaliana na mwenzangu tufanye harusi ya gharama ndogo...
2 Reactions
79 Replies
32K Views
Habari Wadau wa humu? Nisiwachoshe wala kuchoshana humu? Ipo hivi huko Twitter kuna connection zinatembea kwamba eti katika wale COVID19 kuna mmoja wao eti kaachia vitu vya dakika kadhaa akiwa...
9 Reactions
80 Replies
11K Views
Aisee pamoja na kasumba zangu zote lakini siendani na pombe ya aina yoyote. Yaani kuanzia harufu, muonekano, mlaji na mbebaji wake. (Watu wa gambe mtanisamehe[emoji120][emoji120]) Sasa huyu manzi...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Kuna project tulikuwa tunaifanya ambayo tulikuwa tunazunguka sekta karibia zote. Cha ajabu sekta ya ualimu asilimia kubwa wameolewa ukilinganisha na sekta nyingine, kipi kinafanya waalimu wawe na...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama title inavyooeleweka Ni kipindi kirefu nilikuwa natafuta njia za kumteka mpenzi wangu basi kila jioni tunatoka kwenda kula njee Basi tukifika mgahawani tunaagiza chakula kizuri kisha...
16 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni eneo la muhimu sana la kudhibiti utumiaji kwenye utoaji wa pesa ambazo wakati mwingine unakuta hakuna ulazima wa wewe kufanya hivyo kwa sababu ya kukuza nidhamu yako ya uwekaji wa kipato chako...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaume makini wapo..... tena wengi tuu. Kabla ya kufanya maamuzi piga goti umshirikishe Mungu, sikiliza moyo wako huku ukishirikisha ubongo wako. Kumekua na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa...
34 Reactions
244 Replies
13K Views
Wakuu hapa poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Leo tulitoka na dada kuna nyumba alinunua na kuweka wapangaji ni maeneo ya Buguruni mitaa ya Polisi pale kwa nyuma, na hii nyumba hakuwahi kufika...
10 Reactions
51 Replies
7K Views
Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo...
7 Reactions
83 Replies
8K Views
Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimefuatilia story nyingi sana za mahusiano utaskia flani kamuacha mkewe sababu kafanyiwa madawa na mchepuko, au manzi yuko na flani anamchuna kwa sababu kamfanyia madawa, mama mkwe kamfanyia...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wasalaam wananzengo Ilikuwa mwaka 2016 pale nilipotembelewa na shemeji yangu ambaye wakati huo ndio alikuwa kwenye balehe maana mimi ni mtu mzima na tabia za vijana walio kwenye balehe nazijua...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia...
13 Reactions
527 Replies
67K Views
Awali ya yote naomba kuweka katika kumbukumbu za jukwaa hili kuwa, mosi, uchambuzi huu haujalenga kubeza, kukejeli ama kudhalilisha imani za watu. Pili uchambuzi huu hauwahusu mabinti wote wa...
19 Reactions
86 Replies
19K Views
Habari za Chrismas wana JamiiForums leo nadhani ni hamsha hamsha kila sehemu nami nikaona isiwe tabu ngoja nianzie church KKKT UKONGA Wakati naingia jua lilikuwa kali na km Unavyojua sisi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Na mpango wa kuivunja ndoa yangu mwaka ujao kwa kuto kuelewana ndani ya ndoa yetu na mwenzangu miaka mitatu sasa hatuelewani
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Fact ni kwamba wanawake wapo wengi sana kuliko sisi wanaume hata ukifanya tafiti ndogo kwnye hospitali zetu watoto wa kike wanazaliwa wengi kuliko wa kiume. Ndio maana dini nyingine zimeamrisha...
8 Reactions
113 Replies
11K Views
Wakuu nimepatikana hapa yaani nilipata kademu fulani nikaona ngoja nipunguze lita kadhaa ambazo zilikuwa zinanielemea. Demu mwenyewe sio mzuri sura hawajapishana sana na Onyango yule beki wa...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
[emoji2539] [emoji2539] [emoji2539] WANAUME KUNA VITU LAZIMA TUVIELEWE KWA WANAWAKE. Biblia inasema: MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU Hapo hapo inasema; TUKAE NAO KWA AKILI. Na bado inasema...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom