Ni vipi jinsi ya kupangua hii situation?

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,671
Habari wanaJF

One way kwenye swali, yaani kidume unajikuta unaanzisha mazoea fulani na mwanamke kwa dhumuni la kumlia time ili umuapproach lakini katika harakati za mazoea hayo aisee manzi anaanza kukuita kaka yaani inakuwa kama ni defense mechanism fulani hivii.

Nahisi ili baadae ukapo kuja kumuapproach aje kusema "nilikuwa nakuona kama kaka yangu"

Sasa bandugu kama ulishawahi kukutokea hiyo situation uliwezaje kuipangua mpaka ukafanikiwa kuopoa manzi.
 
Endelea kumfuatilia kama wiki hivi,yaaani hakikisha text na calls hazikauki kwenye simu yake,baada ya hapo akiendelea kukuita kaka mkaushie....i mean mkaushie mazima,no text no call hata salamu usimpe

Niamini mimi,ataanza kujileta tu

Akijileta,unajua nini utamalizia
 
Option inayobaki ni kutengeneza mazingira ya kummega tu. Ukitongoza utazidi kujichelewesha.

Kama haujui namna ya kutengeneza mazingira fika ofisini kwangu round about ya Msimbazi au kwenye namba yangu ya simu.

Gharama ni nafuu. Ukiona hutaki kugharamika mbake ufungwe na wewe ukatongozwe na manyapala. Au anza kuyaita kaka siku ukiingia tu.
 
And kutumia text "habari yako kaka yangu mbona kimya?"
 
Wengine tulisha itwa kaka na shkamoo juu....
Ilipofika siku ya mechi badi tuliendelea kuheshimika kwenye chaga (kaka Usheimen shkamoo, kaka Ushimen taratibu)....😂😂
Mwisho kabisa unajikuta unaambia, kaka Ushimen Asante...🤣🤣
 
Option inayobaki ni kutengeneza mazingira ya kummega tu. Ukitongoza utazidi kujichelewesha.

Kama haujui namna ya kutengeneza mazingira fika ofisini kwangu round about ya Msimbazi au kwenye namba yangu ya simu.

Gharama ni nafuu. Ukiona hutaki kugharamika mbake ufungwe na wewe ukatongozwe na manyapala. Au anza kuyaita kaka siku ukiingia tu.
Daaaah we jamaa umevurugwa
 
Endelea kumfuatilia kama wiki hivi,yaaani hakikisha text na calls hazikauki kwenye simu yake,baada ya hapo akiendelea kukuita kaka mkaushie....i mean mkaushie mazima,no text no call hata salamu usimpe

Niamini mimi,ataanza kujileta tu

Akijileta,unajua nini utamalizia
Taktik kutoka kwa mwenzao
 
Akikuita Kaka muite dada pia
Ukiwa nae karbu kuwa huru kwake unaweza mshika sehem yoyote....we si Kaka hauna madhara ukiona hakupi ushirikiano we Kama Kaka mgeuzie kibao ....
 
Habari wanaJF

One way kwenye swali, yaani kidume unajikuta unaanzisha mazoea fulani na mwanamke kwa dhumuni la kumlia time ili umuapproach lakini katika harakati za mazoea hayo aisee manzi anaanza kukuita kaka yaani inakuwa kama ni defense mechanism fulani hivii.

Nahisi ili baadae ukapo kuja kumuapproach aje kusema "nilikuwa nakuona kama kaka yangu"

Sasa bandugu kama ulishawahi kukutokea hiyo situation uliwezaje kuipangua mpaka ukafanikiwa kuopoa manzi.
Love comes at first sight. Mazoea ya nini wewe tongoza mapema maana icho unachokifanya Ni kujichelewesha kukubaliwa au kukataliwa(kujipotezea mida).
Kama anakuita Kaka na wewe muite dada halafu utongoze muda huohuo.
 
Chakufanya ongeza manjonjo mpaka kwenye hiyo Kaka aongeze msamiati akuite "Kaka uliechangamka"😂

Na hapo ukishindwa na mbinu nyengine ulizopewa na wadau nazo zikikwama basi ndugu jua halali utahitaji uhamie daraja la kichawi sasa! Hapo itabidi uipange mizimu imfanye akuone mtu mtamumtamu..🤣 nafikiri tumeelewana.
 
Back
Top Bottom