Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Kuna shemej yenu mmoja ambaye nipo naye muda kidogo. kiukwel nimepitia mahusiano meng..kiufup zile achana achana nmepitia za kutosha mpaka moyo wangu umekua kama chuma. Huyu bint toka nimekua nae...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wakuu. Aisee Wakubwa kumbe kuna muda unaweza kufika mapenzi yanaweza kuwa hayana kipaumbele kabisa katika maisha yako. Yaani sio kwamba hauna hisia ila una amua kuwa katika mahusiano...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao...
16 Reactions
55 Replies
7K Views
Ndoa ni sunna na inatakiwa kuwa handled kwa namna ya kipekee mno. Naongelea Ndoa na si Mahusiano. Mke katika safari yake ya Ndoa anahitaji vitu kadhaa ambavyo ni muhimu zaidi kwake, nitavitaja...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni kauli gani ya mwanamke HUIAMINI kabisaa... 1. Sina nauli😊 2. Niko period😜 3. Mi bado bikra😒 4. Sina mwanaume zaidi yako🙄 5. Ni friends tu hakuna chochote 🤔 6. Mmmh mwenzio naogopa!🤗 7. Nina...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari Sex ni miongoni mwa tendo lenye nguvu sana kijamii watu huwa wanafanya vitu vya ajabu ili tu kupata huduma hiyo. Wapo wanaotoa hela straight ili kupata, wanotoa chipsi, wanaotoa nyumba ili...
6 Reactions
112 Replies
11K Views
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa?. Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi...
52 Reactions
306 Replies
35K Views
Habari wakuu Nimetoka kusikiza hii session muda sio mrefu(Clouds fm) Huyu mdau aliyetaka kupima mahusiano yake baada ya girlfriend wake kuonesha mabadiliko ya kitabia sijui atalala vipi leo[emoji23]
2 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha. Wahenga walisema kosea...
16 Reactions
80 Replies
11K Views
Nime breakup na mpenzi wangu kwa hiyari yangu ila najiskia nahitaji mtu wa kunijali na kunitimizia haja zangu kama mwanamke na am not that lonely ila kuna wakati mida kama hii natamani ningekuwa...
9 Reactions
91 Replies
7K Views
Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa. Kwanini Kwasababu baadaye atakusumbua Sana. Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao. maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
For those who are not chaggas - no comment! There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics...
1 Reactions
560 Replies
92K Views
Sometimes unakuta una mahusiano na mtu alafu unampenda sana lakini unajua kabisa ana tabia mbovu na hatarishi kama ukiamua kumuoa lakini unakomaa nae tu hivyo hivyo kwa vile kumuacha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa alioa mke ambaye tayari alikuwa na boma la vyumba viwili.Akasaidiana na mkewe wakaezeka na kufanya finishing pamoja na kuongeza chumba mabanda nje.Walipohamia jamaa akampatia mke kitanda,tv...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi umewahi kujiuliza kwanini kituo huwekwa mwishoni mwa neno na si alama ya Koma?? Au umewahi kujiuliza kwanini Mabasi hufikia kituo cha mabasi na si nyumbani kwa Dereva? Au umewahi kujiuliza...
4 Reactions
8 Replies
970 Views
Kutokana na changamoto za kwenye ndoa yangu sitoziweka hapa, nimeamua kutafuta mchepuko . Shida ilonifanya niwaulize wazoefu je huwa mchepuko unamwambia kama umeoa au unakausha kwanza, manake kuna...
13 Reactions
94 Replies
9K Views
Back
Top Bottom