Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Habarini
WanaJamiiForums leo naona tuchambue na tuzungumze kwa pamoja kati ya mke wa ndoa na hawara ama kimada nani anaenjoy maisha...kuna watu hawataki kuolewa na wengine kila siku wanatamani kuolewa sasa hebu tuchambue hapa anayekuwa mke na anayekuwa kimada nani anakula maisha na kuenjoy.. Yafuatayo ni mambo wayapatayo mke na hawara
1) MKE
-Anapewa heshima ya kuwa mke wa ndoa
-Anakuwa responsible na wewe katika kujenga na kuikuza familia
-Sometimes anapewa jukumu la kusimamia assets ama biashara ya familia
-Ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi nyumbani
- Muda wote ukiwa haupo anakuwa na mawazo kibao huku akiomba urudi salama
-Yabidi avumilie kwenye hali yeyote ile iwe shida au raha
-Ambaye utafariki ukiwa mikononi mwake
2) HAWARA
-Anapewa daraja la kwanza kwenye suala zima la kupenzika
-Anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka sehemu yeyote yenye starehe
-Anapewa nafasi ya kupelekwa shopping na kununuliwa chochote anachokitaka
-Anakuwa na uhakika vijihelahela na vijichenji kila anapohitaji
-Anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-Anapewa nafasi ya kumsindikiza mwanaume sehemu yeyote iwe ndani au nje ya nchi
TUSAIDIANE MAWAZO HAPA KWA PAMOJA NANI ANAENJOY NA KWANINI?