Msaada wa kimawazo

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Mimi ni kijana mtaftaji, na mungu kanijalia kupata kiwanja hapa mjini nmenunua kati ya 10-15M, nina usafiri, ila tatizo wazaI wanata nioe na bado niko under 23, nawaza sana ukiangalia wapenzi ninao wengi ila nkiangalia hamna anaefaa kua mama watoto.

Plan zangu nilitaka nioe nikiwa na 28, niwe na kwangu, naamni ndani ya miaka mitano ntampata mama watoto, ila kitendo cha kusema nioe, tena kwa vi maneno maneno na huku nakaa peke yangu hawajui naishje nmepanga kuwalima block kabisa, wasilete uswahili wa vijijini.
 
Back
Top Bottom