Hivi rafiki yako wa kike mwenye mpenzi wake unaweza ukamtongoza

Masuonline

Senior Member
Jun 4, 2013
190
14
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa kuumizwa na huyo binti ?
 
No, kaka usimtafune demu wa rafiki yako! rafiki yako akigundua atajisikia vbaya sana mara mia ya raha ulizopata kwa kumkaza demu wake,!

Kwanza unaweza kujikujikuta hata demu mwenyewe hujampenda ila umelazimika kua nae kwakua yeye ndo anataka na hvyo hata jamaa akikuacha nae bado hamtadumu na urafiki umesha potea
 
Ahsanteni sana kwa nyote mlionishauli kuhusu huyo biti nashukulu sana kwa ushauri wenu.poa snail nitafanya hivyo ulivyo niambia ?
 
Hapana sio kwamba namuonea aibu ila uwezo ninao wa kumtongoza ila nilikuwa naomba msaada wa kimawazo ili kufanikisha hili dili
 
Samahani Jamani ila
nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki
yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni
rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za
kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu
vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau
wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa
kuumizwa na huyo binti ?
ndio wale mkiona kichaka tu mavi yamekubana utakuja liwa 0713 hujui mwenzio defence machenism yake katika penzi lake
 
Samahani Jamani ila nilikuwa naomba msaada wa haraka,mimi ni mvulana ambaye nina rafiki yangu wa kike (not girlfriend) ambaye ana mtu wake ambae na yeye ni rafiki yangu,ila cha kushangaza biti huyo amekuwa akinionesha ishala za kunitaka kimapenzi kwani amekua asiponiona hajisikii vizuri na vitu vingi kunioneshea kama mapozi,kunionea aibu n.k ,kwa hiyo jamani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada ili ninusuru moyo wangu kabla haujaanzwa kuumizwa na huyo binti ?
Kweli wewe ni mvulana.
 
em kuwa gentleman basi br....

control hisia zako na ndo maana umepewa akili uzitumie ..
 
Back
Top Bottom